Joined November 2018
4 Photos and videos
13 Nov 2020
Hapoo kuna kufukuliwa kwa kaburi usiku
Milionea wa Zimbabwe atazikwa na gunia la dola bbc.in/3lq0DkX
3 Apr 2019
ISTANDWITHCAG
Unajali nchi yetu kuheshimu Katiba. unajali Fedha za Umma kukaguliwa ili wewe mwananchi uwajibishe viongozi wako. Umechukizwa na Bunge kupitisha Azimio la kukataa kufanya kazi na CAG Prof. Assad. Jiunge na Watanzania wengine kwa kuweka saini PETITION hii changetanzania.org/petitions…
dmt 208 retweeted
Ifike wakati press conference ziwe na vibali maalumu kama vipo basi ziwe na taratibu na kanuni,Tumechoka kila sku kuibuka na vtu vipya visivyo isha Watoto kutelekezwa🚮Tezi dume kwa lazima🚮Sasa hivi wajane nayo 🚮 Tumechoka🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
22
7
155
3 Apr 2019
Mm ningekuwa mbunge kwa ticket ya chama chochote kile, alafu nimeshiriki kupiga kura ya kutokua na iman na CAG ,ningejiuzululu maana ni sawa nakudhalilisha mawazo yangu na elimu yangu hata kama ni certificate!!!!
1
dmt 208 retweeted
Vijana wengi wanaoniandikia wananiomba kazi, na wanasema wako tayari kufanya kazi yoyote hata ya usafi. Nawaonea huruma lakini sijui nitawasaidiaje, eti tunafanyaje? Inaonekana watu wengi kweli hawana kazi au wananichezea akili tu ?? Mi sijui kwakweli 🤷🏽‍♀️
306
80
1,136
25 Jan 2019
Kuficha udhaifu wako ni bora kuliko kuweka wazi udhaifu wako,unampa nguvu adui yako akushshambulie kirahisi,
25 Jan 2019
Ukimya wa MTU jitafakari ,wakati ww unajipanga kumshambulia kwa maneno yy anapanga kukushambulia kwa vitendo,uczarau ukimya wa MTU kwa kuzani hana lakufanya huenda anakusitiri na aibu ambayo ungepata kwa maneno yake,, Heshimu ukimya wa mtu
1
23 Jan 2019
Ufahamu wa MTU hufichwa na tamaa zake,baada ya tamaa kumponza basi huanza kulaumu nafsi yake,,
1
23 Jan 2019
Kufikiri na kutambua njia ,ni mojawapo ya utashi wa mwanadamu, kila jambo linahitaji kuwa katika kulijudge mwenye kabla ya reaction!!!! Usihukumu MTU kwa kosa wakati na wewe unamakosa
2
dmt 208 retweeted
1 Dec 2018
U.S. sees its illegal immigrant population fall to a decade low on.forbes.com/6016E1bGn
2
13
32
30 Nov 2018
1