Joined March 2016
30,476 Photos and videos
#Michuzihabari.Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akifuatilia mijadala mbalimbali iliyowasilishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 15 Juni, 2026. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amehudhuria Bunge la 13, Mkutano wa 3, Kikao cha 49, Bungeni
1
29
#michuzitv_updates:- JKT NA MATUMIZI YA NISHATI SAFI Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema Jeshi la Kujenga Taifa limeachana na matumizi ya mkaa na kuni katika kuandaa chakula cha vijana katika makambi ya JKT. 👇 instagram.com/reel/DZnJwc5NT…
10
#michuzitv_updates : TANESCO YARAHISISHA MAISHA KWA MAJIKO YA UMEME NA EV CHARGING Serikali kupitia TANESCO imezindua rasmi mpango wa mikopo ya majiko ya umeme pamoja na huduma ya vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme, ikiwa... 👇 instagram.com/p/DZc_r8cDbuU/…
26
#michuzitv_updates:-Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imezindua rasmi mradi wa usambazaji wa majiko banifu mkoani Songwe, hatua inayolenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi na kupunguza uharibifu wa mazingira. instagram.com/p/DZalwNKjXXj/…
31
#michuzitv_updates:-Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa agenda ya nishati safi ya kupikia, ambapo upatikanaji wa huduma hiyo umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia ... 👇 instagram.com/p/DZaaQESjfUV/…
16
#Michuzihabari..Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Kilindi Mhe.Salehe Mbwana Mhando leo Jumatano Juni 10,2026 bungeni jijini Dodoma.
47
#michuzitv_updates:-Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo Juni 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wakaguzi wa Mradi wa Malagarasi kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kwa lengo la kupokea taarifa ya tathmini... 👇 instagram.com/p/DZZ-tG9DY_q/…
21
#michuzitv_updates:-Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa, amesema Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo ya kwanza kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31... instagram.com/reel/DZZwsgbNp…
1
25
#michuzitv_updates:-Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa miili sita imeokotwa ikielea katika Mto Ruvu, Wilaya ya Bagamoyo, likieleza kuwa taarifa hizo si za kweli na zinalenga kupotosha jamii. instagram.com/reel/DZXKlAst1…
33
#michuzitv_updates:-Serikali imeeleza mikakati inayotekelezwa kuhakikisha wahitimu wa vyuo vya VETA wanapata ajira au fursa za kujiajiri mara baada ya kumaliza mafunzo yao. @wizara_elimuTz instagram.com/reel/DZUODgoNe…
30
#michuzitv_updates:-Serikali imepata mafanikio makubwa katika vita dhidi ya mbegu feki nchini baada ya matukio yaliyokuwa yakiripotiwa kupungua kwa kiwango kikubwa kutoka 325 mwaka 2014/2015 hadi kufikia matukio 10 pekee mwaka 2023/2024. instagram.com/reel/DZUL7Qttr…
13
#michuzitv_updates:-Wananchi wa Kilwa Masoko mkoani Lindi wameipongeza REA kwa kutoa mafunzo na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, wakisema hatua hiyo imepunguza changamoto za matumizi ya kuni na mkaa. 👇 instagram.com/p/DYy8ALdDXwF/…
22
#michuzitv_updates:-Mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Bi. Suzana Magufuli, amefariki dunia leo Mei 25, 2026 akiwa nyumbani kwake Chato mkoani Geita baada ya kuugua kwa... 👇 instagram.com/p/DYxeY6iNysS/…
40
#michuzitv_updates:-WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema malezi ya kimaadili, mshikamano wa kijamii na elimu ni nguzo muhimu katika kujenga Taifa lenye vijana wenye nidhamu, ujuzi na uwezo wa kujitegemea. 👇 instagram.com/p/DYt5-aODaLv/…
70
##michuzitv_updates:-Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) imekamilisha ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha Uhakiki kilichopo Misugusugu, ambacho kimegharimu shilingi bilioni 7.3. 👇 instagram.com/p/DYpPQNxN4Xx/…
1
50
#michuzitv_updates:-Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imejipanga kuimarisha Mfumo wa Stakabadhi za Ghala katika mwaka wa fedha 2026/2027 kwa kuongeza usimamizi wa ubora wa mazao na ufuatiliaji wa watendaji wa mfumo huo nchini. 👇 instagram.com/p/DYo2C5oNJmX/…
1
16
#michuzitv_updates:-Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameomba Bunge kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 137 kwa ajili ya matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/2027. 👇 instagram.com/reel/DYoo4aJt8…
1
78
#michuzitv_updates:-Mawakili wa Serikali wanaoshiriki mafunzo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Arusha wamepatiwa ufafanuzi kuhusu tofauti ya majukumu kati ya Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria (OCPD) na Tume ya Kurekebisha S👇 instagram.com/p/DYnN2dhjaBZ/…
29
#michuzitv_updates:-Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba amesema ushirikiano wa kikanda ni muhimu katika kuharakisha matumizi ya nishati ya nyuklia kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji... 👇 instagram.com/p/DYknSscDaf5/…
17
#michuzitv_updates:-Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akiomba kuidhinishiwa zaidi ya Shilingi trilioni 2.5 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na... instagram.com/p/DYkboBQtOzo/…
21