Naitwa Buffalo.Nilianza ngumi mwaka 1988. Nimepata mafaniko mengi tu katika ngumi na medali 3 za shaba lakini sitaki mwanangu aje kucheza mchezo huu, ni hatari hasa ukipigwa kichwani. Ngumi sio kama soka, hamko 11, mko wawili,huwezi kutegea na ukijaribu utapigwa ufe.(Tabata, DSM)