“ Sikiliza Albart , hili ni tukio la kumpa heshima Prof Jay na ni starehe kwa watu wote , nikiingiza siasa hapa , nyie CCM mpo na CHADEMA wapo, itabidi na Mnyika au Heche aje kuongea hapa , kitakachotokea hapa, kesho utafukuzwa kazi, halafu uanze kulilia. Matako yako”