Oyaaa daaah maria nimejoin info 2016 nimepanda nae gar kutoka town, nimekaa na jamaa yangu mwaka wa pili akamuona akaniambia huyu manzi kila mwaka huwa yupo hamalizagi, mpaka namaliza 4yrs 2020 bado yupo first year na juz kat mwaka hu naskia bado yupo first yr pale cive bado 😂😂