Mwesiga mwambie huyu kijana wa Hai arudi nyumbani hakuna mtu atakusaidia kupata
Huyu anajua bar na lodge tu haina issue amekudaganya nawe umeingia kichwa kichwa
Thobias Mwesiga Richard naona umeingia Nairobi kimya kimya , muwe mnasema hili mpokelewe kabisa, Kwamba wewe sasa ndiye unaweza safisha Nairobi sio?
Huyo kijana wako ndiye mwenyewe, anakudanganya anajua njia? sasa jipange mambo yamebadilika sana, wewe utakuwa ushahidi mzuri sana