🔹 Mkuu wa UN @antonioguterres amepongeza makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran leo yakijumuisha usitishaji wa mapigano wa kudumu na kufunguliwa tena kwa Mlango wa Bahari wa Hormuz.
🔹 Amesema ni hatua muhimu kuelekea suluhu ya amani ya kudumu.
news.un.org/sw/story/2026/06…