Goli la Mudathir Kwa mjibu wa Mtandao wa SwitchFootball~Uingereza.Wachezaji asilimia 10 pekee dunian kote wanaweza kukimbia na Kupiga mpira wakiwa hewani. Na ni asilimia 1 pekee wanaweza kufanya hivyo na kufunga.
MUDATHIR alikuwa hewani wakati anafunga goli katika mechi ya juzi