Filter
Exclude
Time range
-
Near
Replying to @jaybfly @BCherich
πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo nashangaa mbona jamaa amejamia wakenya hivo. this country doesn't entertain mediocre. lazima usolve shida
58
Unakuta baada usolve tatizo unaongeza hela....πŸ˜€
Jun 9
Nimekuja kugundua Hakuna kitu cha hatari kama kujifunza biashara huku ukiwa na acces ya pesa nyingi.
1
1
86
Post-nut clarity inaeza fanya usolve global warming
6
12
202
Replying to @AM_NIC3
Bora refunds. Return inabidi usolve na hela yako tena hapo ushakula faida
1
3
469
Wewe shinda hapo na kikuyu phobia, people have moved on, enda usolve beef yako na wakikuyu huko
1
2
72
Effect ya spread kwenye Buy orders(Limit order) ni kuachwa trade (kwa asilimia kubwa huwa ni kuachwa) Solution yake ili kuepuka: Buy limit yako inatakiwa kuwa kama ifuatavyo: For istance: Entry level yako ya pair fulani kulingana na analysis yako lets say ni β€”> 1.2345 Then utatakiwa kuangalia spread ya pair ili usolve kupata entry level ya kuweka kwny limit order yako, Lets say ulivyochek iko 24 so nini utafanya utasolve hesabu ndogo. Ni sawa formula yetu ikawa hviπŸ‘‡πŸΎ Entry price = Real price entry pair’s spread. β€”> 1.2345 0.0024 = 1.2369 Hyo utakayopata ndio itakuwa Buy limit yako kwa ajili ya kusubiria trade yako. Entry price utaweka hii: 1.2369 na sio 1.2345. NB: If analysis yako iko sahihi trade itakuwa triggered.
JM ana type 3 za accounts: 1. Raw spread acc. 2. Standard acc. 3. Pro acc. Kuna jamaa nlmkuta anatumia Pro acc. Ila alikuwa analalamika sana kuachwa na trade zake. Nkacheck spread za Pro account nkakuta ni spread pana sana, Ikabd nmuulze kwann unatumia Pro acc na sio Raw spread acc ambapo kuwa Spread ndogo. Alinijibu: Raw spread acc kila trade nnakatwa commission, raw spread ina commission ila Pro account hakuna commission kwahyo nafuata unafuu. Jamaa alifata Unafuu lkn trade zake nyingi alikuwa anaachwa, vipi wew ungekubal upgwe commission? Ila kuna calculation za kufanya ili kusolve kuachwa trade kutokana na spread, zipo na ni nyepesi sana.
7
8
32
1,732
Kwa wedding yangu before ukule lazima usolve matrices mbili bana.
3
18
67
1,026
Si maringo lakini kwa harusi yngu ndio ukule lazima usolve matrices kama mbili hiviπŸ˜‚πŸ˜‚
1
17
34
450
Unajiita kamkutano usolve mambo yako, alafu gava inatuma goons, Enyewe he must Go...
3
20
27
215
USolve Demo Day πŸš€ 20 ta startap chiqadi Tashkilotchi: U-Enter Hakamlar hay'ati tarkibida United Ventures, UzVC, IT Park Ventures, Yoshlar Ventures, SQB Ventures, Virtual Accelerate & Timothy Smart kabi Oβ€˜zbek startap ekotizimi vakillari bor
7
191
Wengine wetu tunakuwanga deep in the trenches inabidi uuze kitu moja ndio usolve ingine
4
16
63
942
Miaka 16 hadi 19 unaitumia kwenye kusoma.Una ajiriwa ukiwa na miaka 30 kazi ya mshahara wa laki 3 kwa mwezi halafu unategemea pensheni ya ustaafu milion 50 hadi 60 ambayo itahitaji usolve vipengele vya madeni kibao.πŸ’”πŸ˜‚ Ifike time tuelewe elimu ya Tz ni chanzo cha umasikini pia.
12
16
109
8,680
Unahitaji mahushino au Mahusiono yanakuhitaji? Kama unaingia kwenye mahusiano ili usolve matatizo yako - Unahitaji mahusiano Kama unaingia kwenye mahusiano na mtu atakaeboresha ulicho anzisha - Mashusiano yanakuhitaji. Watu wanahurumiana sana kuliko kupendana,
2
4
178
Madam safety hukuletea gaidi mbili, operator alikua anabeba morios kwa hoist. Unashangaa usolve hiyo case ajeπŸ˜‚
Replying to @GeneralWaitish
Siku za koroga kuna jamaa ya barrow uko juu lazima angeshukishwa na crane🀣🀣🀣🀣
2
8
582
Bora Upewe Pepa La Mathematics Usolve Ata Siku Nzima Ila Sio Kujihusisha Na Biashara Inayo Itwa Mapenzi!!!
11
15
101
2,434
unakaa hivi idle hadi unaamua kujiundia problem usolve
2
18
31
445
Replying to @_stayliquidd
legedary ..... andika jina yAngu kwa mchanga alafu ukuje usolve dispute ...πŸ₯Ή
2
89
There's a time I wanted to start buying random supplements. My friend asks me mbona napea kidneys na liver kazi mingi hivyo. I stopped. Juu kama hujaambiwa hospitali you absolutely need them and you can't get enough from food, kwa nini usolve one issue ukileta issue ingine?
9
27
146
17,314
Pesa ni either 1. Uibe,utapeli,ufisadi 2. Usolve tatizo fulani, ulete value ulipwe 3. Upewe, Urithi Achague njia anayotaka sasa.
Replying to @gabyconscious
πŸ“ŒπŸ“Œ Utamshaurije kijana mwenye 20 yrs ambaye hataki kuajiriwa for 250k na anataka kuingiza kipato though Hana mtaji wa biz? Aanzie wapi this 2026??
4
4
33
2,472
29 Dec 2025
Umenikumbusha kuna siku nilipanda bodaboda, sasa haraka zake akawa anajipenyeza penyeza katikati ya magari akakwangua Prado ya wenyewe, akasimamishwa. Ikanibidi nishuke nimpe hela yake nisepe anakataa eti "Oii bro subiri kwanza tusolve hili jambo" Usolve wewe na nani mzee? 🀣🀣🀣
28 Dec 2025
Bodaboda Kashaleta Usenge Huyu Leo Tutaelewana Vizuri Tu.
26
9
86
6,485