CPSP (T) ONLINE REVIEW CLASSES
Mdau anaetegemea kufanya mitihani ya PSPTB anaweza kusoma online kwa kujisajili
kps.co.tz/regtype ambakp atapata onlinenotes, kusikiliza recorded videos za vipindi vilivyosomwa na kuweza kuingia kwenye live session/stream muda wa kipindi.