Mwaka 2021- Mo atoa Billion 2 kujenga UWANJA wa Simba
Leo imepita miaka mitano ,
Simba na Yanga zinahitaji mageuzi makubwa ,maana zinaendeshwa na matapeli wanaojinufaisha wao .
Hakuna transparency, accountability, Matapeli ndio wenye sauti, wakiajiri machawa kuwatetea