Former Minister of Agriculture 🇹🇿 | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanza

Joined November 2011
1,189 Photos and videos
Ndoto kila mmoja ana yake ,Kila mmoja anahitaji mkono wa kumshika ,kila mmoja wetu alishikwa mkono.
8
7
41
6,144
Safari hii ilianza 2016
19
12
119
26,231
📍Tazengwa - Nzega Kila nikiwa Nzega hapa ndio sehemu ambayo hunipa tumaini langu la kesho. Niliwahi kuwapa story humu kuwa Mwaka 1993 nikiwa kidato cha 3 Marehemu Mzee MWANIKOLONGO aliniuzia ekari 6 na ndipo nililima shamba langu la kwanza la mpunga kwa mbegu nilizopewa na Marehemu Mzee Nduju na hapa ndipo nilijenga zizi langu la kwanza la MASANZU na kuweka Ng’ombe za kwanza 6 za kufuga nilizonunua Mnada wa Ushirika nikiwa na kaka yangu Marehem Vumilia Ng’hwani. Huyu ni MIMI na haya ni Maisha yangu ya kila siku nikiwa Nzega hapa lazima nifyeke nikiwa sipo Nzega lazima nipige simu kujua wameamka vipi. Allah kamuelezea Ng’ombe katika Qur-aan kaelezea ardhi na manufaa yake. Jumaa Mubaraak Surah An-Nahl (16:5-7) “And the cattle He has created for you; in them is warmth and [numerous] benefits, and from them you eat.” (Surah An-Nahl 16:5) Surah Al-Mu’minun (23:21) “And indeed, for you in grazing livestock is a lesson. We give you drink from what is in their bellies…” Ya Allah Barik 🙏🏾
112
46
314
35,076
Hussein M Bashe retweeted
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia , leo tarehe 21/09/2025 ameendelea na mikutano ya kampeni mkoani Ruvuma. Akihutubia wananchi katika mkutano uliofanyika Mbinga Mjini, Dkt. Samia amesisitiza kuwa Mbinga imebeba historia kubwa , akibainisha kuwa Rais wa Awamu ya Nne, Hayati Benjamin William Mkapa, alipata elimu yake ya sekondari katika eneo hilo kati ya mwaka 1952–1955. Dkt Samia pia amemuombea kwa Mwenyezi Mungu aendelee kuilaza roho yake mahali pema peponi. 🙏 Aidha, Dkt Samia ameeleza kuwa Mbinga ni kitovu muhimu cha uzalishaji wa mazao ya kilimo, jambo linalochangia ustawi wa Taifa. Akiwa amerejea Mbinga baada ya ziara yake ya Septemba mwaka jana iliyolenga kuzindua miradi ya maendeleo, safari hii amesema amekuja kwa lengo la kuomba kura ili kuendeleza kazi kubwa iliyoanza katika miaka mitano iliyopita. Kwa kujiamini na ujasiri mkubwa, Dkt. Samia amesema kuwa Miaka mitano iliyopita tumeweza, na miaka mitano ijayo, kwa uwezo wa Mungu, tutaweza zaidi. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
17
21
22
5,728
Nzega Mjini leo tuna jambo letu. #OktobaTunatiki
13
3
39
8,996
Hussein M Bashe retweeted
HODI HODI RUVUMA! 🌟 Wananchi wa Ruvuma, leo ni siku ya kihistoria! Karibuni kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia @ccm_tanzania , Mhe. Dkt. @SuluhuSamia 💚💛 Usikose kufuatilia hotuba yenye dira ya maendeleo, sera madhubuti na mipango thabiti itakayoendeleza ustawi, mafanikio na maisha bora kwa kila Mtanzania. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
20
29
31
5,044
Hussein M Bashe retweeted
Makala Maalum ya Jiji la Dar es Salaam🔥
28
27
30
12,194
Hussein M Bashe retweeted
SAFARI YA USHINDI WA KISHINDO IMEFIKA TABORA MJINI! 🎉 Leo ni zamu yetu wana Tabora Mjini kumpokea kwa shangwe na hamasa, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia @ccm_tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia. 💚💛 Wananchi wote mnakaribishwa kujitokeza kwa wingi kushuhudia na kumsikiliza moja kwa moja akieleza sera, dira na mipango madhubuti ya maendeleo ya taifa letu. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030 ✅
37
29
28
4,242
Hussein M Bashe retweeted
TMA: MVUA ZA VULI 2025 KUISHA JANUARI 2026 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za vuli zinatarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani katika maeneo mengi na kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu. @WizaraKilimo @UvuviNa @HusseinBashe
3
4
2,343
Hussein M Bashe retweeted
Kaka yangu @HusseinBashe kaweka ombi lake kisomi sana na kwa facts nyingi sana. 1.Ukubwa wa Mkoa wa Tabora 2.Idadi ya watu katika mkoa wa Tabora na katika eneo alilopendekeza liwe mkoa mpya. 3.Uwezo wa kujiendesha kwa mkoa mpya. Kwa mimi kama mzaliwa na mkazi wa Igunga na Nzega
10 Sep 2025
Mbunge wa Nzega Mjini ambaye pia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amemuomba Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifanikiwa kushinda na kuwa Rais wa Tanzania kwa awamu nyingine aidhinishe kugawanywa kwa Mkoa wa Tabora ili upatikane Mkoa mwingine wa Nzega kutokana na ukubwa wa Mkoa huo. Akiongea leo September 10, 2025 wakati wa kampeni Nzega Mjini, Bashe amesema “Sisi hapa ombi letu kwako Mgombea, Watu wa Bukene ili aende kwenye Makao Makuu ya Halmashari ya Nzega Vijijini anasafiri zaidi ya KM 220, Mgombea ombi langu kwako katika kipindi chako cha pili nakuomba Rais tufikirie kuwepo na Halmashauri ya Bukene na Halmshauri ya Ndara, na nakutoa hofu kuhusu uwezo na rasilimali za kuendesha Halmashauri hizo hakuna tatizo” “Tunaomba Mkoa huu ugawanywe kwasababu ndio Mkoa mkubwa kuliko Mikoa yote Tanzania, hii itakuwa kumbukumbuku kwasababu hili tumelilia kwa muda mrefu, na GDP ya Mkoa huu usiwe hofu nayo wala haitokuwa mzigo kwa Serikali” #MillardAyoUPDATES
1
1
6
3,335
Hussein M Bashe retweeted
Nimpongeze kaka yangu @HusseinBashe katenda haki sana kwa kuomba tuwe na Campus ya chuo kikuu cha Dar Es Salaam pale Lusu. Hii itafungua uchumi wa ukanda wetu na pia kusogeza huduma za elimu ya juu karibu na watu wetu. Hongera sana @HusseinBashe kwa uwakilishi huo
2
4
2,962
Hussein M Bashe retweeted
Katika mkutano wa hadhara wa wananchi wa Nzega Mjini, mgombea wa jimbo la Nzega, @HusseinBashe , ameeleza maendeleo makubwa yaliyopatikana katika sekta ya maji katika miaka minne ya Dkt Samia akiwa madarani. Ameeleza kwamba miaka mitano iliyopita, dumu moja la maji katika mji huo lilikuwa likinunuliwa kwa bei ya kati ya Tsh 500 hadi 1,000. Ili kupata maji ya kunywa, familia nyingi zililazimika kufuata vyanzo vya maji vilivyokuwa mbali, wakipanda zaidi ya kilomita 4 hadi 5. Leo, shukrani kwa jitihada za serikali ya Dkt. @SuluhuSamia , kata zote 10, vijiji vyote 21, na vitongoji vyote 176 vina huduma ya maji safi na salama. Hii ni baraka kubwa kwa wananchi, hasa wale wanaoishi vijijini, kwani sasa wanaweza kupata maji kwa urahisi na bila gharama kubwa. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #SamiaHadi2030 #KaziNaUtu2025 #NzegaYetuKeshoYetu
29
16
16
2,828
Hussein M Bashe retweeted
Chama Cha Mapinduzi kimejengwa juu ya imani ya watu wake. Wanachama na wapenzi wapo tayari kukipigania, kukisemea na kukitangaza pasipo kuchoka. 🙌 Safari ya ushindi wa kishindo kuelekea Oktoba 29, 2025 imejaa nguvu na mshikamanisho wa kweli. ✊ @ccm_tanzania @SuluhuSamia
36
23
23
4,124
Hussein M Bashe retweeted
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, akiendelea na mikutano yake ya kampeni mkoani Singida, amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Manyoni. Katika hotuba yake, Mhe. Dkt. Samia amewakumbusha wananchi wa Manyoni kuhusu ziara yake ya Oktoba 2025 ambapo aliweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Mkiwa–Itigi–Noranga yenye urefu wa kilomita 25. Ameeleza kuwa ujenzi huo kwa sasa umefikia hatua nzuri na upo katika asilimia 75 ya utekelezaji. Aidha, amewapa wananchi habari njema kwamba tayari mkandarasi amepatikana kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha barabara kinachoelekea Bukiwa chenye urefu wa kilomita 31. Ameongeza kuwa serikali imedhamiria kuendeleza barabara hiyo kuelekea Makongorosi, hatua ambayo itaongeza fursa za biashara na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya Singida na Mbeya. Mhe. Dkt. Samia amesisitiza kuwa ahadi hiyo ni sehemu ya dhamira ya serikali ya kuhakikisha miundombinu bora inafungua njia za maendeleo na ustawi wa wananchi wote. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
35
30
35
5,582
Kesho 10.09.2025 Viwanja vya Samora - Nzega Mjini.
14
13
41
3,510
Hussein M Bashe retweeted
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, akiendelea na mikutano yake ya kampeni wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameeleza dhamira ya serikali yake endapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Amesema kuwa sekta ya elimu itaendelea kupewa kipaumbele kwa kuendeleza sera ya elimu bila malipo, kuongeza madarasa katika shule za msingi na sekondari, pamoja na kujenga chuo cha ufundi ndani ya Wilaya ya Ikungi ili kupanua fursa za mafunzo na ujuzi kwa vijana. Aidha, katika sekta ya kilimo, serikali itaendeleza ruzuku ya mbolea na pembejeo, huku ikiimarisha upatikanaji wa zana za kilimo kupitia vituo vya ukodishaji vitakavyotoa huduma kwa gharama nafuu nusu ya bei inayotozwa na sekta binafsi ili kuongeza tija na kipato cha wakulima. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030 @ccm_tanzania
28
34
31
2,417
Hussein M Bashe retweeted
Wananchi wa Iringa wameshathibitisha kwa kauli moja “ Oktoba Tunatiki ✔️” kuipa CCM ushindi wa kishindo! Safari ya ushindi wa kishindo kuelekea Oktoba 29, 2025 imejaa nguvu, mshikamo na imani ya kweli kutoka kwa wananchi. @ccm_tanzania @SuluhuSamia
40
25
28
3,312
Hussein M Bashe retweeted
Tunaposema Kazi na Utu, tunamaanisha kweli! Na haya ndiyo malengo makuu yanayotupa dira na kutupeleka kwa ushindi wa kishindo ifikapo Oktoba 29, 2025. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
46
26
27
3,682
Hussein M Bashe retweeted
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, ameendelea na mikutano ya kampeni ambapo leo akiwa mkoani Dodoma, amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Bahi. Katika hotuba yake, Mhe. Dkt. Samia amewakumbusha wana Bahi kuwa anatambua changamoto za fidia kwa wananchi waliopisha mradi wa SGR na miradi mingine ya maendeleo, na amebainisha kuwa uhakiki wa madai hayo unaendelea na mara utakapo kamilika, fidia stahiki zitalipwa kwa wahusika wote. Aidha, ameweka wazi kuwa katika kipindi cha miaka iliyopita serikali imefanya kazi kubwa katika uboreshaji wa miundombinu ya barabara, ikiwemo ujenzi wa madaraja tisa na barabara za changarawe zenye urefu wa kilomita 152 ambazo zinapitika kwa mwaka mzima bila kujali hali ya hewa. Hata hivyo, Mhe. Dkt. Samia amesisitiza kuwa serikali bado inatambua uhitaji wa barabara na madaraja zaidi, na ametilia mkazo kuwa katika miaka mitano ijayo, serikali itazidi kusukuma mbele juhudi hizo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wote wa Bahi na Taifa kwa ujumla. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030 @ccm_tanzania
51
31
30
3,245
Hussein M Bashe retweeted
HODI HODI SINGIDA Ni zamu yenu sasa kumpokea kwa hamasa na shangwe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia. Wananchi wote mnakaribishwa kwa wingi kujionea na kumsikiliza moja kwa moja akifafanua sera, dira na mipango thabiti ya @ccm_tanzania, ikiwemo ajira kwa vijana, kuinua kilimo, kuimarisha uchumi na kuboresha ustawi wa kila Mtanzania katika miaka mitano ijayo. #HaijapataKutokea #DiraYaSamia #KaziNaUtu2025 #SamiaHadi2030
38
29
30
2,695