Mwaka 2014 kabla ya kwenda jela, Rapa Gucci Mane alimpa mpenzi wake, Keyshia pesa zote alizokuwa amebakiwa nazo $3M-Tsh B.8 ili aweze kujihudumia akiwa jela. Gucci Mane baadaye aliachiliwa mwishoni mwa 2016 na mpenzi wake alimkaribisha kwa kiasi kikubwa cha $9M-Tsh B.24.2