ACT is a member-based umbrella organization of the agricultural private sector in the country. Core activities are lobbying and advocacy

Joined June 2016
321 Photos and videos
Nov 24, 2023: ACT at "Tanzania Stakeholders Annual Learning Event (TASLE)" by the AMDT. With 100 participants, it explored innovations in agriculture at Vizano Hotel, Dodoma. Khalid Ngassa, Head of Policy Advocacy, discussed a policy-enabling environment. #TASLE2023
1
2
8
1,260
Baraza la Kilimo Tanzania tunawatakia Siku kuu njema ya Wakulima.
3
145
Michael Masasila Mchambuzi wa Sera Baraza la Kilimo Tanzania akiwa kwenye banda la kampuni ya wauzaji wa pembejeo za kisasa za kilimo(DEUTZ-FAHR) kwenye maonesho ya nane nane akiwaelezea umuhimu wa kampuni hiyo kuwa Wanachama wa Baraza.
86
ACT through YEFFA project and in collaboration with the LGAs, is facilitating market access for young farmers in Katavi through strategic linkages with the NFRA, leveraging established youth farmer platforms from previous AGRA investments.
1
1
78
During this meeting, a formal sales agreement was established for 547MT of maize, with sales set to commence on July 15 at a competitive price. This impactful linkage is expanding across all District Councils in Katavi,
1
26
with the potential to create over 1000 job opportunities for young men and women during this harvesting season. Youth-led. Market-driven. Impact-focused.
27
The Agricultural Council of Tanzania (ACT) is participating in the Cooperative Unions Conference in Rukwa. This annual event serves as a platform for cooperative unions and other relevant stakeholders in the region to gather and share ideas.
1
2
70
Many thanks to #AGRA through the #YEFFA project, more youth are encouraged to step into cooperatives. By leveraging the strengths of these organizations, young people are gaining access to collective marketing opportunities,
1
1
26
financial resources, and skills that set them up for job opportunities and entrepreneurship. "Ushirika hujenga ulimwengu ulio bora", let’s ensure that our young people are not left behind!
1
24
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Kilimo Tanzania Jitu Soni ameshiriki katika kikao cha Bunge cha uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mwaka wa fedha 2025/2026.
1
2
82
Wanufaika wa mafunzo ya taklibani wiki mbili yalioandaliwa hapa Nchini Tanzania kwa lengo la kuwajengea uelewa na kuongeza tija kwenye shughuli za wadau ambao wapo mnyororo wa thamani wa mbogamboga,matunda pamoja na korosho ambayo yaliandaliwa kwa ushirikiano wa ACT na ubalozi
1
1
23
wa Italy Nchini kupitia shirika lake la biashara Italian Trade Agency wakiwa Rimini Nchini Italy kushiriki maonesho makubwa ya Dunia (Ma fruit Exhibition 2025) ili kuwapa fursa ya 1.kubadilishana uzoefu wa teknolojia 2.Kuwapatia muunganiko wa kimasoko ya Nje ya Nchi
1
13
3.Kuwapa mafunzo zaidi ili kuongeza tija kwenye shughuli zao za Kilimo
11
Ubalozi wa Italy Nchini Tanzania kupitia Shirika la Biashara Italy ( Italian Trade Agance ITA) kwa ushirikiano na Baraza la Kilimo Tanzania ACT wamefanikiwa kuandaa mafunzo ya uwezeshaji kwa wadau wa Kilimo katika tasnia ya Mboga mboga, Matunda na Korosho.
1
128
Mafunzo hayo yamefanyika hivi karibuni kwa wiki mbili katika Hotel ya Delta iliyo Masaki Jijini Dar es Salaam. Aidha Wanufaika wa Mfunzo hayo walipata nafasi ya kushiriki Maonesho ya Kimataifa (Marcfruit Exbhition 2025)
1
31
yaliyofanyika kuanzia Tarehe 06 Mei 2025 hadi Tarehe 09 Mei 2025 Rimini Italy.
29
Baraza la Kilimo Tanzania limefanikiwa kupata wajumbe wapya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Baraza hilo. Uchaguzi huo wa wajumbe wa bodi ya Wakurugenzi umefanyika hivi Karibuni Jijini Dar es Salaam baada ya bodi iliyokuwepo kumaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba ya Baraza.
2
1
4
198
shukrani za pekee kwa wanachama wote waliomchagua pamoja na kusema kuwa uteuzi huo ni ishara ya imani kubwa kutoka kwa wanachama, na kwamba yeye pamoja na Bodi mpya watafanya kazi kwa bidii kuhakikisha Baraza linaendelea kuimarika na kufikia malengo yake. Mwisho alizungumzia
1
23
msukumo wa Baraza utajikita katika kuimarisha ushirikiano baina ya wanachama, kuongeza ushawishi wa kisera, kukuza huduma kwa wanachama, na kuibua fursa mpya za maendeleo katika sekta ya kilimo.
21