AIDS TRUST FUND (ATF) is a public fund managed by the secretariat of Tanzania Commission for AIDS under the ATF Board of Trustees.

Joined November 2017
55 Photos and videos
AIDS TRUST FUND retweeted
#WhatWomenWant is an end to Female Genital Mutilation/Cutting by 2030. They want girls to go through this process without circumcision, get an opportunity to go to school and to grow up before they get married.
3
22
29
Former President Benjamin Mkapa shaking hands with the Chairman of Aids Trust Fund Mr Godfrey Simbeye during the Fundraising Dinner on February 13th.
2
6
1
1
2
ATF inatoa shukrani kubwa sana kwa Mh Benjamin William Mkapa kwa kukubali kuwa Baba Mlezi wao.
1
Mgeni Rasmi, Raisi mstaafu Benjamini William Mkapa katika picha ya pamoja wadau baada ya kuwakabithi vyeti vya ushindi wao katika harambee ya uchangiaji wa Mfuko wa udhamini wa kudhibiti ongezeko la #ukimwi
2
2
Raisi mstaafu, Benjamini William Mkapa akipokea mfano wa hundi ya sh.milioni 100 kutoka kwa Meneja uhusiano wa mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM), Mr Tenga Tenga wakati wa hafla ya kuchangia Mfuko waUdhamini wa kuthibiti #UKIMWI
3
3
Changia Mfuko, Okoa Maisha 0684 909090
2
2
Minister of State, Prime Ministers Office, Responsible for Policy, Parliament Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled Hon Jenista Mhagama gave speech at the Fundraising Dinner (ATF) that encouraged more men to check and know their HIV status.
3
3
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dr Leornad Maboko akimkaribisha Mgeni Rasmi na wageni waalikwa katika Harambee ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Udhibiti wa UKIMWI (ATF)uliyofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam.
2
1
meza kuu ikionyesha baadhi ya wageni waalikwa na mgeni rasmi mh Benjamini Wiliam Mkapa katikati pamoja na Waziri Jenista Mhagama (MB) @MkapaFoundation @WMkapa
2
2
Mgeni Rasmi wa kwenye Harambee ya Uchangishaji wa fedha za Mfuko wa UKIMWI (ATF),Raisi wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa akiwasili Hoteli ya Serena Tarehe 13 Februari.@MkapaFoundation @UNAIDS @PPFTanzania @GGMSTL @
4
4
13th February, 2018 Starting at 06:00pm at Serena Hotel. Its not too late, you can participate by contacting us - TACAIDS @ 1Luthuli st/ Sokoine dr. Many appreciation to our sponsors.
1
2
8
Watanzania ni wajibu wetu kujali afya zetu. Ni muhimu kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhakikisha kunakuwepo na rasilimali fedha kwa ajili ya kudhibiti UKIMWI. Changia Mfuko, Okoa maisha 0684 - 909090.
1
2
Contribute to @AIDSTRUSTFUND , save lives 0648909090 .
3
UZINDUZI WA MFUKO WA UDHAMINI WA KUPAMBANA NA UKIMWI (AIDS TRUST FUND) youtu.be/A1NFg04D5Yw via @YouTube

1
2
Nijukumu la kila mmoja wetu kujilinda dhidi ya ugonjwa huu hatari ili kupunguza maambukizi ya ukimwi pia tuchangie mfuko wa ATF kwa kuwasaidia waishio na virusi vya ukimwi.
2
5
CEO’s breakfast meeting- Dr. Maboko urging private sector to work closely with the government in ensuring there is enough resources for the HIV response. He further urged companies to join hands in the “HIV and AIDS Male involvement campaign”
1
1
3
TPSF Executive Director and also the Chairman for the AIDS Trust Fund expressing commitment of the private sector in the efforts of ending HIV including HIV financial mechanism during CEO’s breakfast meeting held on the 4/12/2017 Serena hotel - DSM
1