Nimetoa taarifa kuwa kuna mkeka nimeweka ila mara tu baada ya kuweka ule mkeka sijauona. Niliweka mechi moja ya simba na dau la sh 50,000/=
Je shida ni nini na nitauonaje huo mkeka
Hi, we want to let you know that your concern is important to us. Please reach out to us via DM so that we can assist you. Thanks!