Saa 8 Mchana halafu Jua Kali kuna vijana wadogo nimewaona wanafanya Challenge ya Wimbo tena Barabarani…
Hawa ilitakiwa kuwakamata kuwapeleka kwenye Mashamba ya Kijiji wakalime au wakapewe shamba darasa
Unanikumbusha game ya Brazil vs England ilipigwa saa nne asubuhi alafu natakiwa shule nikajifanya nile chimbo kumbe bi mkubwa alikuwa anasoma nyendo zangu akajanidaka sehemu😁😁
World Cup ya South Korea 2002 nimetega sana mapindi Secondary match zinapigwa hadi saa 4 au 2 Asubuhi
Hii WC ya sasa hivi match 7 usiku 10 Usiku hadi Alfajiri. Hapa Halmashauri watanifukuza kazi kwa kupitiwa na Usingizi nitashindwa kumchukua Boss