God is Good🙏🙏🙏

Joined May 2022
8 Photos and videos
BERETA retweeted
Sijahubiri INJILI hii muda mrefu lakini ukweli ni kwamba kadri unavyoendelea kuishi na kuona mambo yanayoendelea unagundua kuwa KIZAZI hiki hakiko tayari kwa kitu kinachoitwa NDOA. Vijana na mabinti hawako tayari kulipa PRICE inayotakiwa kuwa kwenye ndoa japo HARUSI wanazitaka.
30
75
419
18,575
BERETA retweeted
Tujiandae kwa mambo mawili: 1. A massive regional war in the Middle East or, 2. Mdororo wa kiuchumi mbaya kama au unaokaribia wa 2008. Maisha yatakuwa magumu mno for the next couple of years. If you can farm, just farm. If you can save, just save.
🚨🇾🇪BREAKING: Ansar Allah in Yemen announces that it will close the Bab al-Mandab Strait.
10
9
81
9,688
BERETA retweeted
Niliwahi kulima tumbaku nikaweka kama M3 ivi nikaja kupata laki 3. Mpaka leo nikiona mtu anavuta sigara hua nabanwa na pumu
74
56
686
33,340
BERETA retweeted
Anaandika Mr Chaula pale IG ..
9
17
64
5,076
BERETA retweeted
17 Feb 2021
Arsenal will win the 2025/26 Champions league
5,801
27,159
67,674
BERETA retweeted
Presenter wa Arusha akijua msanii anae muhoji ni mtu wa kwao
28
45
946
24,326
BERETA retweeted
GnZ tambeni ila kazi kubwa millennials wanaifanya ni kuhifadhi tweets na ku screenshot tu, Mkija na control number za kukwama ada,bills za chuo na kukosa mishe mtafuraishwa.
124
103
884
44,110
Me nadhani turudi kunywa pombe zetu asili hizi pombe za KYUARAKODI zitatumaliza. Ona hapo Chupa mbili hizo zote zina QR CODE ila moja Feki😭🤣 Bora ninywe Kimpumu,Ulanzi,Mbege na Gongo sasa>>>>>>
37
24
174
17,259
BERETA retweeted
THEY CALLED ME A MAD MAN!
Arsenal fans, book your flights and hotel to Budapest. Trust me, we will be there.
107
401
2,151
34,425
BERETA retweeted
Today, this tweet will go viral. Tomorrow, people will start respecting it. God, it's not over until it's over. The road to Budapest from the quarter final to the final is what you showed me and used and used my hand to tweet. Let it happen 🙏 Bayern Munich next .
My Prediction to the final. Quarter final PSG to defeat Liverpool Bayern to defeat Madrid Athletico to defeat Barcelona Arsenal to defeat Sporting. Semi-final Bayern to defeat PSG Arsenal to defeat Athletico Final Arsenal to defeat Bayern Arsenal is 2025/26 UCL CHAMPION
39
165
901
62,359
#TajiriLaKihaya Kwa hii DRAW ya Man city kwa everton.. Leo silali… Nitalala kesho saa saba usiku baada ya Arsenal kuipiga ATLETICO MADRID Na kufuzu Fainali ya UEFA🫶🏾
23
30
324
5,552
BERETA retweeted
Usimwage damu isiyo na hatia wala usimuonee mtu mnyonge, yatima, mjane au mtu ambaye hata ukimfanyia ubaya huwezi pata majibu ya maswali yako. Unaweza ukafikiri nina nguvu nina pesa na Mamlaka hivyo na roho hizi mali yangu, nakuapia mwisho unakuwa mbaya sana sana. TUISHI
7
29
226
BERETA retweeted
Replying to @EsirEid
NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
14
195
369
15,183
#TajiriLaKihaya UEFA martinelli ana magoli mengi msimu huu,wanalingana na Dembele … anawazidi OLISE,DOUE, vinicious na takataka zenu zote…
11
17
103
6,382
BERETA retweeted
Sometimes inabidi tu uwaelewe vijana wanaogoma kuwapisha Wazee kwenye Seat wakae. Maadili pande zote yameyumba!
76
254
1,715
33,377
BERETA retweeted
Pombe mbaya sana wapwa zangu anyway tumchangie jamaa apate matibabu ya figo kama huwezi kuchangia chapa tu retweet wengine waone
25
155
257
17,998
BERETA retweeted
Unaitwa "My Future Wife" Unapanic Kwanza Kutongoza Ni Ishara Ya Kiume Kuwa Huyo Sio Shoga Na Pia Ni Ishara Yakuonyesha Kujiamini. Wanawake Wameumbwa Kwa Ajiri Yetu Na Mdada Ukiona Umetongozwa Jua Kabisa Kuna Vigezo Umekidhi Kwa Mwamba. Au Na Mdada Ajiamini Kama Yeye Ni Mzuri😂
16
31
115
2,715
#TajiriLaKihaya Manzi za humu hazijawahi faham… Hakuna siku wataLeak DM ya Ndume wakashinda😅 Ingekua ni hivyo basi mm ningelikwisha Left humu… maana kuna kipindi dm zangu zilikua zinaleak kila siku😅😂 Laiti kama manzi wahumu wakiamua waleak dm zangu kila siku mmoja mmoja basi itachuka miaka mitano kuwamaliza wote💔 Wanawake mumeumbiwa sisi wanaume… mmeumbwa kutupatia tulizo la moyo na kiakili… Ni Haki yetu ya msingi kuja Dm… wewe kutokujibu au kujibu ni maamuzi yako binafsi…ila sisi tutakuja Dm… Mwanume usiwahi ona aibu kwenye kutongoza… ndio UANAUME HUO! Wapwa kwenye Kikao chetu tulishakubaliana… Manzi atakae leak Dm ya mshikaji… inabidi asipate amani mwezi huo woooteee…
91
99
517
20,486
BERETA retweeted
Baada ya kufanyiwa huduma ya dialysis leo Jumatatu tarehe 27 madaktari wamegundua kuwepo kwa uvimbe tumboni unaohitaji kufanyiwa upasuaji wa haraka. Wameeleza wazi kuwa kuchelewa kunaweza kusababisha madhara makubwa zaidi kwa afya yake.⤵️
Ana umri wa miaka 25 bado ana ndoto kubwa ya kuwa Mama,kuwa Mke na kutimiza malengo yake maishani. Hata hivyo anakabiliana na changamoto nzito za kiafya anasumbuliwa na matatizo ya FIGO,amepoteza mguu mmoja na pia analazimika kutumia njia isiyo rasmi kwa ajili ya haja kubwa.⤵️
2
12
29
2,872
BERETA retweeted
Mpaka Sasa kupitia challenge ya mchakato wa kupata Bima baada ya mudau kujitolea laki 168000. Kama ambavyo nilieleza kwe Twitter iliyo pita na mapka muda huu kiasi kilicho baki ni elfu 35000 ili itimie 70000 kukamilisha laki 240000. M-pesa namba 0754 639063 Joseph Mrungu.
2
36
80
7,531