Kwenye utafutaji, usiwahi kuwa kizingiti cha mtu kwenda mbele au kujipatia kipato chake,yale maumivu wanayopata huwa hayasahauliki,wewe utasahau kama ulifanya kauzibe sehem ila wao hawasahau kamwe.
Epuka laana,epuka maombi mabaya.
Moyo safi haugharimu kitu.
Good morning fam.