Wengi wanauliza mzee Onyango ni nani why msiba wake umehudhuria na rais wa Zanzibar?
Jibu ni: Mke wa rais wa Zanzibar na mzee Onyango ni mtu na mjomba, Mwinyi kaoa mtoto wa dada yake mzee Onyango. Case closed.
Serikali ya mtaa ya Londa wanachangisha pesa kwa madereva bodaboda na magari wakidai wanataka pesa ya mafuta ya greda.
Wataalam wa utawala bora hii imekaaje?
Wengi wanauliza mzee Onyango ni nani why msiba wake umehudhuria na rais wa Zanzibar?
Jibu ni: Mke wa rais wa Zanzibar na mzee Onyango ni mtu na mjomba, Mwinyi kaoa mtoto wa dada yake mzee Onyango. Case closed.
🚨 FULL FIFA WORLD CUP 2026 SCHEDULE IS HERE! ⚽🏆
The tournament kicks off with exciting matches every day. Who’s taking the trophy this year?
Drop your favorite team and bold predictions below! 👇🔥
#FIFAWorldCup2026#WorldCup2026#Football#USA2026
Mzee Onyango aliishi maisha ya kawaida sana ingawa alikua super star na mjomba wa rais.
Ni kawaida sana kumkuta kwenye vijiwe vya kahawa, na alikua mtu mcheshi na asie na majivuno.