🎙️ The mic is back in my hands! New season loading……………………
Same voice, new season. This Saturday we kick off something special!
Lock in on IG & YouTube → @dozenselection_
Sauti ileile, msimu mpya, Jumamosi hii!🌟
YouTube na Instagram @dozenselection_
Kila Siku December unakua Bongo, Hebu Washtue watesi wako Msimu huu wa sikukuu uende Zako DUBAI kwa Dola 399 tu na hio ni nauli ya kwenda na kurudi na unabeba pisi 3 za mizigo. Book ticket yako kwenye airtanzania.co.tz au piga 255 748 773 900 #SafiriZaidi#LipaKidogo
Imagine unahitaji tu USD 399 Unasafiri Zako Msimu Huu Wa Sikukuu Mpaka DUBAI na @airtanzania_atcl alafu isitoshe VISA zinatolewa pale pale kwenye ofisi za @airtanzania_atcl kwa USD 90 tu, Usikae Kinyonge Msimu huu wa sikukuu wakati AIR TANZANIA Ipo kwa ajili yako na Familia Yako
Ladies and gentlemen of TOT it’s officially December I am available for all events , bbq , parties , clubs , day drinking please text I bring Johari, cups and a speaker 🙌🏾 please RT my next party is on your TL 😂
#GetToKnow Rapa #Drake amempa shabiki huyu zawadi ya ($50,000) zaidi ya TSh. MILIONI 125 ikiwa kama sehemu ya shukrani kwa kitendo cha shabiki huyo kuuza Furniture zake za ndani kwa ajili ya kupata pesa za kununua Tiketi ya kuingia kwenye onesho la Drizzy.
#GetToKnow Tory Lanez ameripotiwa kufunga ndoa na baby mama wake Raina Chassagne, kipindi hiki ambacho yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka 10. Wawili hao kwa pamoja wana mtoto mmoja aitwaye Kai mwenye umri wa miaka 6.
#GetToKnow Ziara ya Beyonce ‘RENAISSANCE World Tour’ imekuwa ziara iliyotengeneza pesa nyingi zaidi kwa Mwanamuziki wa Kike kwenye historia, imeingiza kiasi cha ($461 million) zaidi ya TSh. TRILIONI 1.1
#GetToKnow Tory Lanez alikata rufaa kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 10 Jela, hukumu ambayo ilitolewa Agosti 8 mwaka huu. Sasa rufaa hiyo imetajwa kusikilizwa Septemba 5 mwaka huu.
#GetToKnow Gabriel Cannon ambaye ni Kaka wa Mchekeshaji na Muigizaji #NickCannon amekiri kwamba, hawezi kutaja majina ya watoto wote 12 wa Nick Cannon. “Na siwezi hata kujaribu kuyataja.” 😄
#GetToKnow Rais wa Cameroon Paul Biya mwenye umri wa miaka 90 amefanya mabadiliko muhimu kwenye Wizara ya Ulinzi kwa kuongeza watu kwa ajili ya shughuli za ndani na nje ya Wizara hiyo. Mabadiliko hayo yanatafsiriwa kuwa kama kitendo cha kujihami kwa Rais huyo kufuatia
1/2
2/2
Mapinduzi ya Kijeshi nchini Gabon wiki hii ambayo yameshuhudia Rais Ali Bongo akiondoshwa Madarakani na Wanajeshi wa Taifa hilo. Rais Paul Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982 akihudumu kwa kipindi cha miaka 41, pia aliwahi kuwa Waziri Mkuu toka mwaka 1975/1982.