/uːˈbʊntuː/ | Center Back @ Panorama Authentik

Joined March 2015
1,059 Photos and videos
Enigma
1
1
3
66
Benix Matrix retweeted
My dad always told me being ten minutes early is better than one minute late. Do you agree?
326
93
4,603
104,067
Sungwe.
Dah nimemiss sana MNAVU Nina miaka 6 sijakutana na hii mboga , watu wa kusini (masasi) watakuwa wanaelewa utamu wa hii mboga 🥹🙂‍↔️
91
Benix Matrix retweeted
Putting your phone down when someone is talking to you is a simple basic manners✍
59
108
184
2,478
UI ilikuwa mbele ya muda
W Phone 8 for Windows Phone in 2012
3
52
Wazee wa kukusanya kibunda BVB wanachekea pembeni.
🚨 OFFICIAL: Jadon Sancho leaves Man United as free agent after 5 years since joining on £75m deal from BVB. United’s 4th most expensive signing ever says goodbye on a free after Aston Villa loan.
77
Jide??
Gen Z hawaelewi kitu hapa wanaweza kudhani ni Wasanii wa Congo hawa......😂
89
Benix Matrix retweeted
Yani wew jua tua thamani yako haiwez tu kuamuliwa na mtu kama wewe ni wa thamani still utabaki kuwa wa thamani
💡Mpendwa Kijana wa Tanzania. Tambua ya kwamba kukataliwa katika maisha yako ya kila siku sio dhihirisho la thamani yako. Thamani yako ipo katika uwezo wako wa kusonga mbele kila wakati na kujenga njia ya kufikia malengo yako.
1
3
49
Kama Unafanya Marketing... Basi jifunze: 1. Visibility — Usipoonekana, husikiki. 2. Value — Onyesha thamani kabla ya kuuza. 3. Branding — Muonekano mzuri huongeza credibility. Bookmark This!
31
Hii kama siielewi.
Washua @iboysean na @hereiseddy_ mmefikiwa sasa.
1
2
370
Entertain Inspire Educate Don’t just “sell”
1
21
💡Mpendwa Kijana wa Tanzania. Tambua ya kwamba kukataliwa katika maisha yako ya kila siku sio dhihirisho la thamani yako. Thamani yako ipo katika uwezo wako wa kusonga mbele kila wakati na kujenga njia ya kufikia malengo yako.
3
20
377
Benix Matrix retweeted
Life lesson kubwa nawakumbusha kila siku humu, ni nadra watu kuhairisha mipango yao kisa wewe unahitaji msaada wa kifedha. Sijasema wapo ila ni wachache sana.
7
84
546
11,903
Huku kumeanza kuwashinda mmehamia kwenye ma-autotune kibao?
96
Genge La Wajenzi.
9
24
811
Unataka kujifunza digital marketing bure? Usijipe stress. Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa skillshop.withgoogle.com Unaweza kujifunza: - Google Ads - YouTube Marketing - Analytics - Digital Strategy Kutoka kwa wataalamu wa Google.

Unataka kujifunza programming bure? Usipate stress. Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa theodinproject.com Unaweza kujifunza: - Full stack development - HTML, CSS, JavaScript - Git & GitHub - Real-world projects
2
4
131
Benix Matrix retweeted
Nine months. Not because it took that long to build, but because we refused to launch until it was built for the long term. Today we are proud to announce the V3 of the @SerengetiBytes website, the third version in seven years of existence. We built our first in 2018. Our second in 2022. This one is for the next chapter. It is available in seven languages: English, Kiswahili, Chinese, Russian, French, Spanish, and Arabic, and across four country domains: serengetibytes.com, serengetibytes.co.tz, serengetibytes.rw, and serengetibytes.ug, with the Burundi version coming in Q3 2026. We are also expanding our portfolio of services and products, and this website is the beginning of that story becoming visible. We build slowly. We build deliberately. And when we ship, it is because we are ready.
20
22
67
15,508
Marketing 101 Maintain a social media presence. It’s important to post regular, focused, and engaging content for your customers so they begin to consider your business an active and helpful source of information.
2
35
💡Mpendwa Kijana wa Tanzania, Usiogope kushindwa; jaribu tena na tena. Mafanikio huja kwa wale wanaojifunza kutokana na makosa na kuendelea kusonga mbele. Safari bado ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu.
7
27
416
Siasa na soka, maji na mafuta.
52