Hii generation ya sahii ni wazii.Huyu aliambiwa na father-in-law atoe 5M kama dowry ju tu alipeleka msichana wake shule, bois akamuuliza kwani yeye wazazi wake walimpeleka prison ๐๐
Family hata huwa easy kwa gals, anapata two kids from different baby daddies lakini bado atakuwa accommodated lakini wewe kama mwanaume jaribu tu kukosa pesa wanakuona outcast