Joined January 2019
7,410 Photos and videos
ENZI ZA LIKUNGU TRANS โ€ข DAR ES SALAAM - SONGEA _________________________________ Likungu Trans ilianzishwa mwishoni mwaka 1990 haikudumu sana kwenye usafirishaji wa mabasi, ni takribani kama ndani ya mwaka tu ilifanya kazi. Likungu Trans wakati huo walitumia basi aina ya ISUZU
13
29
155
Habari njema kwa wakazi wa Tarime, Mpanda na maeneo jirani. KIMOTCO INT TRADE imekuja na route mpya inayounganisha safari zako kwa urahisi zaidi kutoka Tarime mpaka Mpanda busbora.co.tz App : onelink.to/busbora #busworldtanzania #Busbora #basikiganjani
24
๐ŸŸง ๐˜ฝ๐™š๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™™ ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™–๐™ฃ ๐˜ฝ๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™™๐™–๐™ง๐™ž๐™š๐™จ Border to border from South Africa to Zimbabwe ๐Ÿ›‘ Advertise with us๐Ÿ“ฑ0763 575 575 #busworldtanzania #beyondtanzanianboundaries Online Booking na BUSBORA App :: onelink.to/busbora Web :: busbora.co.tz
2
48
โœ๏ธ Salamu kutoka kwa Dada Mwaso, je UNAJUA yupo kwenye ruti na basi lipo?, vipi pia umewahi kupata nafasi ya kusafiri naye?. Tupe mrejesho chini. Endelea kusafiri na Civito Luxury, keep it Civito Luxury ๐Ÿ‘ ๐Ÿ“ถ civitoluxury.co.tz #civitoluxury #teamcivitoluxury
1
1
41
๐ŸŸง ๐˜ฝ๐™š๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™™ ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™–๐™ฃ ๐˜ฝ๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™™๐™–๐™ง๐™ž๐™š๐™จ Enjoy the ride! ๐Ÿ“น๐Ÿ“ธ CBBS ahsante Sana ๐Ÿ‘ ๐Ÿ›‘ Advertise with us๐Ÿ“ฑ0763 575 575 #busworldtanzania #beyondtanzanianboundaries Online Booking na BUSBORA App :: onelink.to/busbora Web :: busbora.co.tz
2
46
๐ŸŸง ๐˜ฝ๐™š๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™™ ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™–๐™ฃ ๐˜ฝ๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™™๐™–๐™ง๐™ž๐™š๐™จ Business as usual! Credit ๐Ÿ“น๐Ÿ“ธ CBBS ahsante Sana ๐Ÿ‘ ๐Ÿ›‘ Advertise with us๐Ÿ“ฑ0763 575 575 #busworldtanzania #beyondtanzanianboundaries Online Booking na BUSBORA App :: onelink.to/busbora Web :: busbora.co.tz
1
4
99
๐ŸŸง ๐˜ฝ๐™š๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™™ ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™–๐™ฃ ๐˜ฝ๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™™๐™–๐™ง๐™ž๐™š๐™จ Hellow good morning from South Africa ๐Ÿ‘‹ ๐Ÿ“ธ CBBS ahsante Sana ๐Ÿ‘ Advertise with us ๐Ÿ“ฑ0763 575 575 #busworldtanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #beyondtanzanianboundaries App :: onelink.to/busbora Web :: busbora.co.tz
2
20
Twen'zetu Tunduru! ๐Ÿ‘ ๐Ÿ“ถ Book your favourite seat ๐Ÿ’บ online civitoluxury.co.tz Powered by BUSBORA โœจ Southern favourite bus, basi Pendwa kusini Dar es Salaam โž  Tunduru โ€ข Tsh 60,000/= ๐Ÿ“ฑTunduru 0768 888 008 ๐Ÿ“ฑ Dar es Salaam 0773 888 880 #civitoluxury #teamcivitoluxury
2
2
99
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Safari za kisasa hazianzi alfajiri tena. ๐ŸšŒ Chagua muda unaokufaa na usafiri kwa utulivu, faraja na uhakika. Dar es Salaam โ†” Tanga Royal Liner Express Experience Royalty.
1
5
11
396
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mtwapa-Kitale || Malindi-Kisumu 15 Units of the MAN HB4 26.360. Class of 2026. Tahmeed Express Class of 2026 from @Mobikey_EAfrica Bado sasa za ile side ingine.
6
13
51
4,827
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Wikiendi imefika! Safiri kwa raha na usalama ukitumia Royal Liner Express. Tunakutakia wikiendi njema. Safiri nasi kila siku Dar Es Salaam kwenda Tanga
3
7
332
NEW ROUTE Habari njema kwa wasafiri safari zako sasa ni rahisi zaidi ukiwa na NEW BEST LINE kutoka DAR hadi KAHAMA Usafiri wa uhakika, safari za viwango vya juu. Safiri kwa urahisi na kwa starehe huku ukipata huduma bora kabisa busbora.co.tz onelink.to/busbora
2
1
42
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Nyasa Luxury (TZ) with some Rear Engined Irizar i6s. So far I have seen one with a MAN RR4.480. That particular one is one that will gap you on an ascent. Model: MAN D2676 engine (common rail diesel) Power Output: 353 kW (480 hp) @ 1,900 rpm Maximum Torque: 2,300 Nm @ 950โ€“1,400 rpm Displacement: 12.4 Liters Emission Standard: Often Euro 5 or Euro 6 depending on market (EEV/Euro 5 standard) Performance: Highly suitable for hilly terrain and sustained high-speed operations due to high torque at low RPM. These have been deployed on the Dar-Tunduma route.
9
10
59
5,147
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
World Cup 2026 Buses. ๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿงต 1. South Africa Irizar i6s powered by a Mercedes Benz O500 2445 Rear Engine. Displacement: 12,816 cc Emission Standard: Euro 5 with Selective Catalytic Reduction (SCR) technology Maximum Power: 449 HP (330 kW) @ 1,800 rpm Maximum Torque: 2,200 Nm @ 1,100 rpm Top Speed: 120 km/h Gearbox: ZF-TraXon 12TX BO automated manual transmission (AMT) Gears: 12 forward speeds and 2 reverse speeds Drive Configuration: 6x2 (3 axles with an active steerable tag axle)
6
27
152
12,506
YADI YA KUKODISHA INAHITAJIKA. Ukubwa wa Yadi uwe Square meter 500 - 1000. Yadi iwe na uwezo wa kuhifadhi Mabasi 10 na Malori 10. Maeneo yawe Kigamboni, Ilala au karibu na Ubungo. Mawasiliano ๐Ÿ“ฑ 255 784 575 575 #busworldtanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #busworldtanzaniainvestment
1
38
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
This is how my Dad taught me. 0-20kph - Gear 1 20-30kph - Gear 2 30-40kph - Gear 3 40-50kph - Gear 4. 50-70kph - Gear 5. For a Five Speed MT. For lorry kubwa 0-10kph - Gear 1 10-20kph - Gear 2 20-30kph - Gear 3 30-40kph - Gear 4 N then Split to Hi Range 40-50kph Gear 5 50-60kph Gear 6 60-70kph Gear 7 70-80kph Gear 8 tukisonga
This brings me to the question; Manual drivers, you change your gears based on your speed, rpms or just the overall power demands of the vehicle? ๐Ÿค”
14
52
258
20,963
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Achaneni na ile chuma ya gharama pia Jayrutt kaleta nyingine hii maalumu kwa ajili ya jezi. Utopolo mwaka huu kazi mnayo
33
31
577
29,387
โœ๏ธ Usiku sisi tupo kulee, wale wa kutambua maeneo na Giza hili hapa ni wapi?. Shusha "comment'c hapo chini. Tumpe maua yake Donnie Blasto kwa hii kumbukumbu na kuwakilisha team CIVITO LUXURY ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“ถ civitoluxury.co.tz #civitoluxury #southernfavouritebus
4
8
281
Mama Mkurugenzi wa mabasi ya Mapenzi ya Mungu Express akiongoza mapokezi ya mabasi mapya akishangalia mafanikio ya kupiga hatua zaidi kwa kuongezea mabasi mapya Yutong na Tata. ๐Ÿ“ธ @pieretouch #busworldtanzania #MapenziYaMunguExpress
5
112
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mozaico na zingine Mwecheche!!! Stock na bale mpya imefunguliwa.
6
9
42
1,965
BUS WORLD TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Kwenye mabasi yetu yote ukisafiri nasi utapata huduma ya free WiFi Usisite kumuuliza kondakta password yake na utaekewa kabisa Karibuni sana RoyalLiner Express Dar Es Salaam kwenda Tanga Kila siku Experience Royalty
3
5
180