Biashara huwa zinaushindani na hujuma vile vile, ila hii waliotufanyia wenzetu leo ni hujuma za waziwazi, kikubwa chuma imetoka japo nje sana ya muda na iko full...
TUNAHITAJI WACHAWI WENGINE NA HUJUMA ZINGINE ZINGINE
#Bslogistics
Ila kuna kampuni haziko makini kabisa, nauli Geita || Dar-es-Salaam Elfu Tisini na Tatu(93k) kweli...
Basi #GeitaExpress, #Mallessa's, #ShigakaLuxury wajipange jimbo limekuja kuchukuliwa na #LuwinzoExpress
Nilikua niende Songea wiki ijayo ghafla nimepamis ugweno embu nielekeze safar yake nilin naweza kata tiket siti 2 za mbele moja nikae mm hiyo nyingine awe anakuja kuimba nankusinzia mpaka nifike mwanga