Kesho inaweza kuwa mbali kwa sababu hatuna uhakika wa kuishi milele ndo maana tunaishi kwa kumshirikisha sana Mungu
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake,kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu,maana hapendi mtu yeyote apotee ila wote wafikilie toba