Historia yako itaandikwa makumbusho ya nchi hii miaka 1000 ijayo wataisoma,😃
Ukiwa kwenye NDOA
•Kupika
•Kufua
•Kufanya usafi
•Kumu handle mume
•Sex
Ni majukumu ya NDOA hayaitaji malipo acheni kuwasikiliza feminists Hawana akili and most of them hawana NDOA,how mtu asiye na NDOA anakushauri mambo ya NDOA na unamsikiliza!?