Kongamano la wanawake DSM lilifanyika Ubungo plaza,wanawake zaidi ya 1000 kutoka maeneo mbalimbali walihudhuria,Nilialikwa kuwa moderator wa panel kujadili mada”Ushirikishwaji wa wanawake kuzifikia fursa za kiuchumi.Shukurani ofisi ya Mkuu wa mkoa na Wizara maendeleo jamii TZ