Kuelekea Kombe la Dunia lijalo, kampuni za China zinaendelea kuwa na mchango mkubwa kupitia ubunifu wa teknolojia mbalimbali, ikiwemo jezi zenye uwezo maalumu na vifaa vinavyotumia akili bandia (AI) katika mashindano hayo makubwa ya michezo.
“Makampuni ya China si wadhamini wa kibiashara wanaonunua nafasi za matangazo pekee tena, bali sasa yanaleta moja kwa moja ubunifu wa hali ya juu wa kiteknolojia ndani ya mifumo ya mashindano ya UEFA,” amesema Guy-Laurent, Mkurugenzi wa Masoko ya Matukio wa UEFA.
Ahead of the upcoming World Cup, Chinese companies play major role with innovation such as functional jerseys and AI equipment in this massive sporting event. “Chinese companies are no longer mere commercial sponsors buying ad space, but are instead bringing cutting-edge technological innovations directly into UEFA's tournament systems,” said Guy-Laurent, UEFA events marketing director.