Ukatiki wa wazi wazi. Lakini pia wqajiri wengi hawapeleki michango hasa NSSF, na baadhi wanaopeleka haziingizwi kwenye Account za wafanyakazi. Usumbufu jamani ni mkubwa kupita maelezo. Wenye mamlaka wasaidieni wafanyakazi. Wafanyakazi wananyasika kila kona.
#WapwaTuinuane with the age yako stil kuna mtu anakwambia how to live ya life .. mara jenga mara oa au olewa , mara umri unakwenda utasema umri wake umeganda.. hivi watu wa hivi wana nyumba na magari mangap?!
Wapwa Leo Naomba Tuinuane Sana, Kama Uko ChiniYa Followers 10K, like na ku comment hapa kisha Follow Wale Wote Watakao Like Comment Yako Pia watakufollow back Usisahau Na Ku Rt ili ujumbe Ufike Mbali Zaiidi Tuinuane Leo.🙏🙏🙏🙏
Kuna wale wana wanakusaidia kukamilisha michongo yako ya hapa na pale, wathamini.
Mara nyingi tunawalipa kidogo au kutowalipa kabisa, tusisahau wana mahitaji na ndoto pia.
Tuache kuwa wabinafsi.
Zawadi kubwa tunayopewa kila siku na Mwenyezi Mungu ni pumzi, uhai, afya njema Maana huwezi pata utakacho /mafanikio bila kuwa na afya njema, Mshukuru Mungu maana kuna wengine wako hoi kitandani hawajiwezi wewe ni nani? GM Fam and happy Sunday 💜
Kijana endelea kujitia upofu kwamba upendi siasa, uzee wako una jengwa leo, wajukuu wako wanatengenezewa mazingira leo. Kama mipango itawekwa isivyo sahihi basi maendeleo ya nchi baadaye yatafanana na kilichopangwa leo #ChangeTanzania
Ukimpenda mtu mwambie; Usipepese macho. Asipokuelewa, muoneshe kwa vitendo. Asipokuelewa, achana naye. Hastahili kupendwa. Duniani watu hupenda wasipopendwa. Ila ukibahatika kupendwa, shukuru na changamkia fursa! Maana utajapenda usipopendwa! #NjeYaBox
Nyaga na wenzako si mnasali nyie kukemea corona! Haya kuna mchungaji sijui nabii mtume mwenzenu kafyekwa na 🦠🦠🦠🦠
Akatoe mafunzo ya ndoa na mahusiano huko aendako sasa!!
Mnaambiwa kooona ipo mnabisha!!