Joined March 2020
230 Photos and videos
Tunakutakia heri ya maadhimisho ya Uhuru 2024 na mapumziko mema #codeangels #independenceday #Tanzania
2
22
Sisi ndio wababe wa mjini Katika kutengeneza tovuti au website pia Blog ukihitaji usisite kuwasiliana nasi. Lakini mfano umekutana na sisi wababe wa website tukakupa ofa ya Bure kutengenezewa, je, ungependelea website au blog inayohusu maudhui ya aina gani?
1
20
1
4
Ni biashara ipi umewahi kufanya mtandaoni na je, ilifanikiwa kiasi gani? Tuambie tukupe mbinu za Bulk SMS, blog na app #codeangels
10
Biashara ni mawasiliano, biashara ni taarifa...Karibu Code Angels tukuunganishe na wateja wako wote kwa njia ya sms. Ni haraka, rahisi na nafuu #codeangels #Bulksms
2
11
Kama ulikuwa unafikiria kukata tamaa kwasababu yoyote ile, achana na hilo wazo, wanasaikolojia wanasema kile unachokiogopa, chenyewe kinakuogopa mara mia moja zaidi #NeverGiveUp #codeangels
1
10
Tunaungana na Watanzania wote kutoa pole kwa waathirika wote waliokumbwa na janga la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Dar es Salaam, tunawaombea majeruhi kwa Mungu wapone haraka na waliopoteza maisha Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani #prayforkariakoo #codeangels
2
28
1
8
7
Pata mafunzo ya IT zikiwemo program mbalimbali za computer. Utapata ofa ya punguzo la bei, kuelekezwa hata baada ya kumaliza mafunzo tu DM au tucheck Whatsapp kwa namba 0767013061 #ITtraining #codeangels #computerapplication #programming
12
Mafunzo ya Computer application na Computer training kwa ujumla vyote utavipata Codeangels. Je, unahitaji kujifunza nini? Hata ukiwa mmoja au wawili, tupo kwaajili yako wasiliana nasi #codeangels #ITtraining #computerapplication #computertraining
2
9
Mafunzo ya IT ni muhimu, kama kuna suala linalohusiana na IT usisite kuwasiliana nasi tukupatie mafunzo mwanzo mwisho #ITtraining #codeangels
1
5
Kwa kila jambo linalohusu maisha, fanya maamuzi sahihi upate matokeo chanya #mondaymotivation #codeangels
2
14
Hakikisha ofa ya mwisho wa mwaka haikupiti, tupo kwaajili yako, wasiliana na nasi kwa huduma yoyote ya IT #codeangels #cybersecurity
1
8
Tuchague tukupe huduma bora , wasiliana nasi Moja Kwa moja #codeangels #cybersecurity
1
9
Pamoja na changamoto na kila kitu Kama umeingia Mwezi November, tumia hata sekunde kadhaa Kumshukuru Mungu #HappyNewMonth #codeangels #CyberSecurity
1
16
Fahamu huduma zetu mbalimbali za cyber security tunazotoa, chagua yoyote, tutakuhudumia #CyberSecurity #codeangels
1
16
Tunafunga camera za usalama CCTV camera majumbani, sehemu za biashara na maofisini, kazi zetu ni za uhakika na tunakamilisha kwa wakati #CyberSecurity #codeangels
1
10
Uvamizi upo kila mahali mpaka mtandaoni, jambo la muhimu ni kuwa na ulinzi wa uhakika. Tunatengeneza software kwaajili ya ulinzi wa data zako mtandaoni ni nafuu na kwa haraka, wasiliana nasi kwa namba ya simu 0767013061 #CyberSecurity #codeangels
1
3
Kuwa na ujasiri unaozidi visingizio vya kukurudisha nyuma #mondaymotivation #codeAngels #cybersecurity #cctvinstallation
1
14