The worship playlist inanibariki zaidi mapema hii..
#MwambaWaBaraka
Barikiwa sana kwa kazi nzuri @DorahManya
Jehova hafananishwi kabisa.. siku zote ni mwaminifu kwangu na nitazidi kumpa sifa 🙏🙏
A very good Morning @DorahManya ,, Therefore, since we are receiving a kingdom that cannot be shaken, let us be thankful, and so worship God acceptably with reverence and awe, for our “God is a consuming fire.” Heb 12:28-29
#MwambaWaBaraka
If your faith rises and falls with your circumstances, you'll always be on shaky ground. Let what God is doing in your heart be what moves you forward #MwambaWaBaraka
Good morning Dorah, Ematsuli Bunyore tumeamka salama, wife Eunice Lipesa, pastor Sophie Omutoko, Maggie Afesto, Jenifer Otondo, Rodan Anyika, Man Festes, na John Baraza nawatakia jumapili njema #zinga.
Bwana Yesu asifiwe..Karibu kwa ibaada ya #MwambaWaBaraka@RadioTaifaFM
Zaburi 125:1
Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni,
Ambao hautatikisika, wakaa milele...
Tuned inn from Githurai.Ni baraka iliyoje kuanza siku ya Jumapili ndani ya Mwamba Wa Baraka. Naelekea morning devotion hapa Githurai Salvation Army. #MwambaWaBaraka@DorahManya@DorahManya
Barikiwa dada kwa hizo nzuri za mapema ... Ni kweli Kabisa Mungu anatupenda
Bwana Yesu asifiwe..Karibu kwa ibaada ya #MwambaWaBaraka@RadioTaifaFM
Zaburi 125:1
Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni,
Ambao hautatikisika, wakaa milele...