MSCA Research Fellow | EM Alumni 🇹🇿🇫🇷| Author| Business & Data Storytelling Coach| Learning & sharing lessons on Mind-Philosophy-Success & Failures.

Joined September 2020
287 Photos and videos
Pinned Tweet
Habari ndugu Mwanamafanikio, Naitwa Edwin Francis Memirieki (EFM).Naandika kuhusu vitu ninavyojifunza na kufanya kila siku: • Business storytelling • Subconscious mind • Habits & systems for success • Wealth building strategies • Scholarship opportunities • Communication skills • Life philosophy • Research & business tips Kama unapenda kujifunza, kufikiri tofauti na kukua kila siku, karibu! Follow @EdwinMjeru tuendelee kujinoa na kuwa bora katika maisha yetu. Unlock and live your dream!
7
12
67
8,320
Edwin F.M retweeted
Great question!
“Nataka vijana muwe big thinking, nje ya box. Na inaanza na vitu vidogo vidogo vya kila siku, mfano kwanini kitumbua ni round tu, kwanini hakuna yenye shape ya square”— Ruge Mutahaba.
1
1
16
Edwin F.M retweeted
In 1995, Elon Musk applied for a job at Netscape. He sent his resume. He even went to their office. But he was too shy to talk to anyone. So he went home & started his own company. 31 years later, that shy kid who couldn’t ask for a job became the world’s first trillionaire.
352
999
5,532
62,138
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Shosho Nyanya,=bibi Bibi/mke Haya pia nayo ni maneno ya kiswahili kwani? Inshort tafrani tu
2
1
2
78
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Hahaa tz kubanduliwa ni tusi, mnapigana kabisaa
1
1
1
62
Kiswahili kipana sana. Kenya ‘Mshikaji ni mdada’, wakati Tanzania ukisema niko na mshikaji wangu hapa (Maana yake rafiki wa kiume/Mwana)😂🙌.
2
1
20
851
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Kulala na chatu wewe kuweza?! Anakuonea huruma yasikukute mafungamano
1
1
1
74
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Uendeshaji wa biashara unavitu nyuma ya pazia sikiliza wakubwa pima uwezo wako uingie na mbinu zako
1
1
3
114
“Nataka vijana muwe big thinking, nje ya box. Na inaanza na vitu vidogo vidogo vya kila siku, mfano kwanini kitumbua ni round tu, kwanini hakuna yenye shape ya square”— Ruge Mutahaba.
1
3
49
909
Edwin F.M retweeted
Imetengenezwa na Canva.
Hakuna anayejali mpaka UTOBOE. Kwa hiyo, acha kufikiria watu watakuonaje. Mind your business.
1
4
121
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
au mwanangu somea udaktari alafu yy kaishia la pili
1
1
1
221
Bongo kuhusu deal mtu anakuambia, “Aisee hii achana nayo. sikushauri ufanye(kazi, biashara etc)”. Alafu yeye anaendelea kufanya🙌. Hivi kwanini🤣. Ni roho mbaya au anakuonea huruma🙌
6
10
79
2,893
Edwin F.M retweeted
"Naheshimu wanaofanya hata kama wanakosea mwanzo hauna kinara nawaonaga mabogus wale walio waoga kuanza na kufanya vitu na kubaki kuongelea jambo nje ya uwanja"
“Well began is half done”—Aristotle
1
1
3
342
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Jaribio la nne lilipofaulu unaambiwa NASA wakampa dili mezani wakasaini nae contract worth $1.6B
2
1
2
65
Replying to @EdwinMjeru
Success often depends on how you start. A well-planned beginning lays the foundation for a successful finish. A good start is half the battle won.📌
4
6
6
116
“Well began is half done”—Aristotle
1
8
28
971
Edwin F.M retweeted
Wazazi wengi wanawaogopa watoto, haswa wakiwa wamesoma, wanawaona wana akili.
2
1
2
64
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
GDP per capita is just one metric- you can’t look at it alone and conclude one economy is doing better than the other. Inabidi uangalie na metrics nyingine kama HDI, gini coefficient, etc. See link below for a more detailed comparison: geofactbook.com/compare/tanz…
1
1
117
Edwin F.M retweeted
Kama Zimbabwe pesa yao ina thamani kuliko yetu sisi tuna maana bhasi?
Aisee, Uganda wametupita TZ kwa per capital income 2026. Uganda's per capital income ≈ $1,420. Tanzania per capital income ≈ $1,360. Kwenu wataalam; Does this translate kwamba UG Ina uchumi inayokua vizuri (strong economic growth) kuliko TZ?
1
1
3
820
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Kwanini unakosea lakini, ANAYEJALI umewekaje herufi Ndogo?
1
1
1
95