Katika hali ya kupambana na masoko dhidi ya Land rover kampuni ya TOYOTA miaka ya 1960 iliachia gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER 40 series , iliyowapitia ushindani mkubwa sawa washindani wake,
Mpaka kufikia miaka ya ya 1980 TOYOTA kuongeza ufanisi wakaja na muendelezo ulio bora zaidi TOYOTA LAND CRUISER 70 series, ambayo imebaki kua icon kwenye game ya Afrika na mazingira ya Australia ๐ฆ๐บ na baadhi ya nchi.