From 2019,nimekua cashier,waitress,plumber,hawker wa solar,nimefanya na aim global,nimeuza thrifts,nimekua donda kisumu,nimepika mandazi na sambusa,nimeweka tiles,nimekua step mom,nimefanya kwa locals,nimefanya VIP kisumu,sijasahau nimekua teacher wa pp1 n 2😭,Mungu shuka uniokoe