"Naiomba FCT kusimamia haki ili iwe na tija pamoja na mambo yote hayo toa elimu mara kwa mara kwa wadau hao usikae ofisini nenda kwa wafanyabiashara kutoa elimu jinsi ya kukata rufaa kuhusu ushindani wa haki na jinsi gani watapata haki zao". Amesema Dkt. Nguvila.