Airtel na Dtbi wanatoa fursa ya kujifunza masomo ya KOMPYUTA , UBUNIFU NA UJASILIAMALI kwa watu wote na vijana. Mafunzo haya yataanza rasmi siku ya jumatatu ya tarehe 7/102019 kwa muda wa wiki nne kila siku kuanzia jumatatu mpaka ijumaa. Fursa hii siyo ya kukosa a , Jisajili saa.