I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Joined March 2009
3,661 Photos and videos
Pinned Tweet
Imekuwa muda kidogo. Nilikaa na Msasa Podcast kuzungumzia kazi, digital, fursa na maisha. Full episode iko hapa YouTube: youtube.com/watch?v=wg58K8PVโ€ฆ
16
69
181
42,544
Gillsant v10 retweeted
Tanzania is officially onchain! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ nTZS is live today at ntzs.co.tz
7
12
42
4,640
Gillsant v10 retweeted
A lot of businesses in Tanzania are not growing kwasababu tunafanya vitu kwa mazoea.. Running a business needs structure, consistency, and serious discipline, DISCIPLINE guys.
10
56
238
15,357
Gillsant v10 retweeted
Mshahara Tsh 3,500,000/=
19
22
186
26,857
Gillsant v10 retweeted
Before you sign any document, take a picture of the blank pages too. People add things after signatures. This is common.
363
17,652
111,663
1,643,842
Gillsant v10 retweeted
Jenga utamaduni wa kujiuliza mwenyewe maswali magumu kuhusu maisha yako!
10
88
424
13,184
Gillsant v10 retweeted
Akili Bandia (Akili Mnemba) inaendelea kubadilisha mustakabali wa dunia, ikifungua mipaka mipya ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kampuni za Marekani ziko mstari wa mbele katika ubunifu, zikiendeleza mifumo mikubwa ya lugha inayobadilisha namna tunavyoishi, kufanya kazi, na kuwasiliana. Ubalozi wa Marekani unaanzisha mfululizo wa warsha unaolenga kutumia akili mnemba kama nyenzo ya kutatua changamoto za dunia halisi. Kipindi cha kwanza katika mfululizo huo kitafanyika Aprili 23 katika American Corner iliyopo kwenye Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam au unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi: bit.ly/4tyR3Q1. Ushiriki ni bure na uko wazi kwa wote. Usikose fursa hii ya kupanua uelewa wako na kwenda sambamba na mabadiliko ya zama za kidijitali. Endelea kutufuatilia kwenye majukwaa yetu ya mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu vipindi na mada zijazo.
3
48
108
11,314
Gillsant v10 retweeted
Kuna gap kubwa sana kati ya knowing na doing. Millennials tunajua mambo mengi productive ( business ideas, financial literacy and marketing) kuliko Gen Z. Shida yetu millennials tuna fear za kufeli mnoo. Gen Z akipata mtaji kidogo tu kashafungua biashara chap bila kuwaza mara 2.
10
35
307
10,858
Gillsant v10 retweeted
Apr 13
Unajua kutengeneza website lakini unapataje wateja wa hizo kazi? Hi ndio njia nyepesi na sahihi ambayo unaweza kutumia kwa ajili ya kupata wateja kwa kutumia claude code chrome extension ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
2
12
24
2,227
Gillsant v10 retweeted
Jumapili ya tarehe 29 Machi 2026 ilikuwa siku yenye maana sana kwangu. Nilipata nafasi ya kukutana na baadhi ya vijana wa jiji la Mwanza kupitia event ya Mwanza Digital Meetup. Kitu kilichonigusa zaidi ni kuona kwamba bado kuna pengo kubwa kwenye uelewa wa fursa za online. Vijana wana uwezo na hamasa, lakini wengi bado hawajapata nafasi ya kuona kwa upana dunia ya kidigitali inaweza kuwafungulia nini. Hii ni ishara kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya, lakini pia ni mwanzo mzuri wa hatua bora zaidi zinazokuja. Niwapongeze sana vijana wenzangu waliofanikisha event hii. Kazi mnayofanya ina maana kubwa. @Heritagetech3 @officialhimsel1 @meetkhaled_ Vijana wadogo wenye maono makubwa. Nimefurahi kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyahitaji Mwanza.
2
12
31
2,216
Gillsant v10 retweeted
Miaka michache iliyopita Wise walikuwa wana wapa USD account wabongo. Kwa connect mbili ulikuwa unaweza omba kazi hadi Upwork. Payoneer walikuwa wanatoa akaunti binafsi kwa freelancers. Now vyote hivyo ni historia. Usikubali kuwa sehemu wa historia fungua akaunti Grey, uPWORK, fiverr sasa kabla hawajaanza kuweka vikwazo.
7
3
82
8,008
Gillsant v10 retweeted
Ina depend na ww unapenda kujifunza kitu gani ๐Ÿ‘‰ Digital marketing mentorship @GillsaInt ๐Ÿ‘‰ Copywriting mentorship @NyandaAmosi ๐Ÿ‘‰ Online freelancer @mafolebaraka @Johansentz ๐Ÿ‘‰ Facebook and Instagram ads @yoramelement ๐Ÿ‘‰ Graphics Design @akhun_graphix17
Replying to @sundey_fx
Mentorship wanalipiaga wapi jaman
1
7
20
1,608
Gillsant v10 retweeted
"Followers wengi utapeleka wapi !? , we unahitaji wachache wanaoweza kununua product zako" - @GillsaInt
1
1
10
666
Gillsant v10 retweeted
๐• Money early public access will launch next month
15,597
15,336
156,605
67,037,620
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐˜† ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii. Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI ๐™ˆ๐™–๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ ๐™ช๐™๐™ช๐™จ๐™ช ๐˜ฟ๐™ช๐™—๐™–๐™ž ๐™†๐™ฌ๐™– ๐™€๐™ญ๐™ฅ๐™š๐™ง๐™ž๐™š๐™ฃ๐™˜๐™š ๐™ฎ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช -Utakuwa umefika Dubai -Umejua kila kona ya Dubai -sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk ๐—•๐—ผ๐—ผ๐—ธ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐Ÿ‘‡ Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia Chachu ilitoka wapi? โ€œ๐™„ ๐˜ผ๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ฎ๐™จ ๐™˜๐™๐™ค๐™ค๐™จ๐™š ๐™ง๐™ž๐™จ๐™ ๐™ฎ ๐™›๐™ง๐™š๐™š๐™™๐™ค๐™ข ๐™ค๐™ซ๐™š๐™ง ๐™˜๐™ค๐™ข๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™–๐™—๐™ก๐™š ๐™จ๐™ก๐™–๐™ซ๐™š๐™ง๐™ฎ. ๐˜ผ๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ฎ๐™จ.โ€ Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini. Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo. Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐•ž๐•Ÿ๐•ฆ๐•Ÿ๐•ฆ๐•ซ๐•š๐• ๐•Ÿ๐•๐•š๐•Ÿ๐•– tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo Sasa yeye akaanza kwenda ๐˜ฟ๐™ช๐™—๐™–๐™ž next ikawa China Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai. (Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE) Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana. (Btw tushaiwafunza watu 1000 jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐Ÿ‘‰๐Ÿพ youtu.be/lLfA4B5zQpg?si=Tuwdโ€ฆ) Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa. Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu. Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200 daily wanaangalia whatsapp yangu Kukosa mteja labda nirogwe. Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia. Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi. Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale. Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu. Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐Ÿ˜‚ (x.com/gabyconscious/status/1โ€ฆ) Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐™ฌ๐™๐™–๐™ฉ๐™จ๐™–๐™ฅ๐™ฅ. (Learn Whatsapp marketing๐Ÿ‘‰๐Ÿพ youtu.be/1ER2REhfhMM?si=uLjmโ€ฆ) Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐™๐˜ผ๐™€ ๐™„๐˜ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu. Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo. Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐Ÿ˜…. Round hii mambo ikajipa Process ikaanza ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Safari ya MATUMAINI iliotaka kukatishwa siku ya Kwanza. Well Day 1 bana nimefika tu Dubai nikapata Order. Kuna jamaa sijaionana nae in-person ila ananiaminia kishenzi Akanambia bro nimeona uko Dubai nitafutie simu i15 pro. NILIFURAHI Kichizi. Kumbe MATESO ndo yanaanza๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡
99
408
1,209
195,464
Gillsant v10 retweeted
Usipotafuta namna ya ku Multiply kipato chako, unajikuta kwenye mzunguko ule ule wa earning and spending, year after year, SADLY.
36
168
1,035
23,870
Huyu binti ni Single mother nilimuelekezaga awe anapost IG, akajiongeza kutengeneza page ya mtoto wake Dogo ana page na anajua kizungu fresh ila yupo nyumbani Nikamwambia afanye kutafuta international schools dogo akasome Bure Leo ananiambia kuna shule wamempigia AENDE๐Ÿซก
39
46
338
25,447
Nataka nitengeneze threads na videos 30 mwezi huu unawezaje kuuza digital product(templates,ebook,bundles,subscriptions za groups nk) A-Z na ukatumia snippe.sh kulipwa Comment unataka kuuza nini ONLINE (hasa digital product) Nitaandika a free Guide na Video๐Ÿ‘‡
22
27
100
3,369
Gillsant v10 retweeted
Kama unatamani kutengeneza content kwa ajili yako, kwa biashara yako, au unataka kuwa content creator lakini hujui uanzie wapiโ€ฆ Nimetengeneza AI tool itakupa mapendekezo ya aina ya content pamoja na mwelekeo wa kuanza. Jaribu kisha uniambie umeonaje. is.gd/krieta
2
16
55
3,268
Gillsant v10 retweeted
Feb 19
14 years ago today I started the MrBeast channel. For years I uploaded videos and no one watched them, everyone told me I was unrealistic and wasting my life. Grateful for all of you โค๏ธ
3,999
2,136
34,937
1,290,383