Football Analyst @timesfmTZ_|Hip hop|Primitive

Joined March 2022
1,804 Photos and videos
Pinned Tweet
It's difficult to play through Arsenal's block(4-2-4/4-4-2) coz there's no Psg's option inside Arsenal's block to proggress a ball.
9
5
92
8,189
Wachache sana tulimpiga kanji kwenye hii mechi, naona vilio tuh kila mahali. Nili-share kitambo pale mujini Insta😂 Hii ndo raha ya kufatilia kila mechi🫵😂
2
1
1
26
Mamae unajicho, kuna mwamba wangu mmoja nae kwenye kipindi alimsifia sana🤌😂
22
Kuna Ibrahim Imoro pia kwenye timu zote anacheza vizuri tuh, Yanga kama mna mpango wa kuongeza beki wa kushoto jivutieni😂
Hivi kwenye timu zenu za Kariakoo hamumuoni Muaku? Teka lina vitu vingi (hold up&link up), nguvu na positioning✅️ Au mnasubiri awafunge?
2
130
Hivi kwenye timu zenu za Kariakoo hamumuoni Muaku? Teka lina vitu vingi (hold up&link up), nguvu na positioning✅️ Au mnasubiri awafunge?
1
1
21
633
Hii sanaa ya uzuiaji ya Bosnia mamae (5-3-2) — mstari wa mbele una idadi ndogo lakini udhaifu huo unafichwa na jinsi wanavyokimbia kufanya pressing kwa mwenye mpira hii inawafanya Canada kua na idadi kubwa nyuma. — Wakirudi chini wanamfanya Miller na Buchanan kua mbali na box👏
1
3
96
Timu ngumu sana hii😂
Ila hii team kuitetea ni ngumu sana……🚶🏽🚶🏽🚶🏽
1
5
475
Bora umenda huko mana Barca ilikua mihemko tuh, matatizo tunayo mengi ungekua Guimares(DM) ningebariki🙏😂
🚨💣 BREAKING: Bernardo Silva to Real Madrid, deal set to be sealed as revealed earlier… HERE WE GO, SOON. 🇵🇹 Agreement at final stages after official proposal valid until June 2028 plus potential option. Bernardo Silva, ready to join Real Madrid.
4
16
931
Najua S. Africa hawakuiandaa 5-3-2 kukaba kuanzia juu ila kipindi cha pili itabidi wabadilike mana wakivutika juu hiki ndo kinawakuta👇 (a)Full backs wa Mexico wanakua huru (3v2) (b) Kiungo wa Mexico kua huru — Baada ya kiungo wa SA kuvutika pembeni kumkaba FB wa Mexico
2
8
264
Wazee huyu sio Barka Seif huyu ni Destiny Kosiso alikuepo kabla mana naona wengi mnachanganya.
3
27
1,291
Na hazitaota kweli mana huna timu ya kubeba WC😂
🏆🧔🏽 Lamine Yamal: “If we win the World Cup, I promise I’ll grow my beard and mustache for three weeks”.
2
1
5
152
Kuna watu wanakera mamae eti "sogeza koni nyeusi"😂🙌
3
15
1,023
Ni funguo ya lowblocks mamae🤌
Ila nyie Cherki fala anajua, mnamuita Olise nonchalant sio basi mwamba ni nonchalant akiwa na mpira mana anafanya vitu mamae🙌
8
183
Ila nyie Cherki fala anajua, mnamuita Olise nonchalant sio basi mwamba ni nonchalant akiwa na mpira mana anafanya vitu mamae🙌
2
17
977
Ngoja leo ni-share haka kausukuma GOAT breezy✊️
1
2
81
Dumfries tena, msimu ujao shughuli tunayo mamae🙌😂
🚨💣 EXCLUSIVE: Denzel Dumfries to Real Madrid, HERE WE GO! ⚪️🇳🇱 Deal in place and all agreed with Dutch right back to join Real Madrid from Inter, Spanish club will trigger €20m release clause. Dumfries has accepted Madrid, deal closed tonight and formal steps to follow.
13
1
81
5,191
Ni kwamba walisubiri nani mshindi kwenye penati ndo waamue nani Man of the match? au walichanganya na mechi iliyopita?😂
2
2
18
1,283
Hii @canivo_ limejidhihirisha leo💔 Serengeti boys hongera kwa hatua mliyofikia, tulipata nafasi za kumaliza mchezo hatukuzitumia🙏
Mimi naaminigi Left footer ana 50% za kupata penati out of 100%
1
5
502
Sorry ni Lupuga, ila kule kwa Idrissa napo kuna kasheshe Mbudji nyoko pongezi kwa Mbengelendi msaada anaotoa kwa Idrissa pia Chenga yupo karibu tofauti na kwa Lupuga.
Lupiga anahitaji usaidizi huyu Wagne atamuua🙌😂
4
355
Sadam bado anachelewa kimaamuzi mguu wake unakua na kigugumizi.
Replying to @JackRthythm
Haji awe muangalifu uondoaji wake wa mipira, Saadam aongeze maono yake wakti wa upigaji(mashuti). Wawe bora kwenye mipambano ya juu (wasimwachie Mbegu pekee) mana Senegal hua wanawatumia SY na Dione kama ngazi (mipira ya juu). Mwisho niwatakie mchezo mwema Serengeti boys🙏
10
321
Huyu hapa tena mamae Chole Busi wa bongo ona huo uharaka wa kiuno mamae🤌😂 sema kaniangusha kwenye targets ya long balls
Issa Chole "Tanzania Busquets" The Simplicity🤌
4
2
19
975