A citizen-centered approach in countering Misinformation and Disinformation Online and Offline by JamiiAfrica

Joined September 2010
2,898 Photos and videos
Pinned Tweet
Jukwaa la #JamiiCheck hufanya kazi ya Kuhakiki Taarifa zinazopatikana ndani na nje ya Mtandao ili kubaini kama zina Ukweli, Uzushi au Nadharia Jukwaa hili huwa na 'Logo' yenye rangi 4 ambazo ni Njano ikimaanisha Taarifa mpya inayosubiri kuhakikiwa, Kijani ikimaanisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa na Ukweli, Nyekundu ikimaanisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa haina Ukweli pamoja na Kijivu ikiwakilisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa ni Nadharia Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa, hakikisha unatumia Jukwaa hili uwe sehemu ya Watu wanaopambana na Usambazaji wa #TaarifaPotofu Mtandaoni Kufikia Jukwaa, bofya JamiiCheck.com #FactCheckingDay #FactsMatter #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
1
9
38
10,812
Video inayosambazwa mtandaoni ikimuonesha mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwataka wafuasi wa chama hicho kuchangia fedha ili viongozi 'wanywe bia' imepotoshwa. Uchunguzi wa JamiiCheck umebaini video hiyo imekatwa na kuunganishwa vipande tofauti, hivyo kubadili ujumbe halisi. Katika video halisi, Lema anaeleza kuhusu changamoto za CHADEMA kukosa ruzuku na kuomba michango ili kusaidia gharama za uendeshaji wa shughuli za chama. Zaidi soma jamii.app/LemaMichangoChadem… #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
2
74
Kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo mtandaoni, jiridhishe uhalisia wake au iwasilishe JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika. Soma jamii.app/NotiMpyaElfuKumi #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
1
2
43
1
2
46
2
19
Iwapo utakutana na picha au video inayokupa mashaka, thibitisha kwanza kabla ya kusambaza, au wasilisha JamiiCheck.com kupata msaada wa Uthibitishaji. Zaidi soma jamii.app/ChademaTonetone #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
15
Tembelea JamiiCheck.com kusoma zaidi namna watu wa kale huko Uganda (Bunyoro) walivyokuwa wakiwazalisha Wanawake kwa Upasuaji kwa kutumia njia za asili. Zaidi Soma jamii.app/CsectionKufanyikaU… #VisitJamiiCheck #FactsCheck #HakikiTaarifa #FactsChecking
1
2
54
1
2
28
1
3
17
Not every quote shared online is genuine, verify the source and use JamiiCheck.com to verify information before sharing. #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter
1
4
34
1
18
Hakikisha Mtoto anapata maziwa ya Mama kwani si chanzo cha lishe pekee, bali ni kinga muhimu dhidi ya magonjwa mbalimbali. Dkt. Lucy Mpayo, Bingwa Bobezi wa Watoto Wachanga, anasisitiza kuwa maziwa ya Mama yana mchango mkubwa katika ukuaji na kinga ya mtoto, akitolea mifano watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) au wenye uzito mdogo ambao wako katika hatari zaidi wanapokosa maziwa hayo. Video: Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila. #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter
5
86
Inaelezwa kuwa tiba ya kemikali (#Chemotherapy) ni njia muhimu ya matibabu ya saratani, kwani husaidia kuua seli za ugonjwa huo, kupunguza uvimbe, kuzuia ugonjwa kusambaa au kujirudia, pamoja na kupunguza maumivu makali. Afya yako ni mtaji wako. Ilinde kwa kufuata ushauri na miongozo sahihi ya wataalamu wa afya wenye ujuzi na uzoefu katika huduma za matibabu. #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter
3
36
Taarifa zinazohusu maisha ya watu maarufu mara nyingi huundwa ili kuvutia hisia na kupata ushiriki mkubwa. Kabla ya kuamini, tafuta chanzo na uthibitisho wa madai hayo. #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter
1
3
30
1
1
20