Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

Joined June 2009
43,261 Photos and videos
Pinned Tweet
Statement on the Continued Blocking of JamiiForums.com in Tanzania. #JamiiForums
10
107
473
73,279
WORLD CUP 2026: Timu ya Taifa ya Ujerumani imeanza kwa kishindo ushiriki wake katika Michuano ya Kombe la Dunia 2026 kwa kupata ushindi mnono wa Magoli 7-1 katika mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi dhidi Curacao. Zaidi tembelea jamii.app/UjerumaniKombeDuni… #JamiiForums #JFSports #JFWorldCup2026
13
637
Upi mtazamo wako Mdau? Shiriki Mjadala jamii.app/KulaMsibani #JamiiForums #JFMaisha #JFLifestyle
8
1,317
Mdau "michezo” hii imewahi kukutokea au umeisikia ikifanyika? Yapi maoni yako? Zaidi tembelea jamii.app/KuhamishaWanafunzi #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFElimu
2
7
1,386
Umejifunza nini kupitia kisa hiki cha Staa wa Bongo Fleva, Isaya Mtambo (Chino Kidd/Chino Wanaman)? Shiriki mjadala jamii.app/ChinoWizi #JamiiForums #JFMaisha #JFEntertainment Video Credit: Bongo 5
2
46
5,912
Mdau, umekutana na changamoto kama hii karibuni? Ulichukua hatua gani? Shiriki mjadala jamii.app/HudumaWatejaSimu #JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma
1
1
9
1,096
Kushiriki mjadala tembelea jamii.app/Viwanja #JamiiForums #Maisha
3
13
2,714
Unamshauri Mdau anunue kiwanja eneo gani kati ya maeneo haya mawili? Kwanini?🤔
78% Bagamoyo Road
22% Morogoro Road
9 votes • 6 days
1
836
Mkazi huyu wa Ruvuma ameeleza kinachoendelea mtaani kwake, vipi Mdau hali ya ulinzi na usalama mtaani kwako ipoje? Zaidi tembelea jamii.app/VibakaSongea #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
1
9
1,271
Mwanahabari mkongwe Taji Lihundi ameandika hoja hii kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, unakubaliana naye? Shiriki mjadala jamii.app/KuwajaliWavulana #JamiiForums #Uwajibikaji #Maisha
2
3
19
2,491
Moja ya mjadala unaoendelea ndani ya JamiiForums.com, ili ushiriki katika mjadala huo na mingine mingi, tembelea jukwaa hilo na ujisajili. Zaidi tembelea jamii.app/MatangazoUbashiri #JamiiForums #BetiKistaarabu
6
653
MWANZA: Mei 24, 2026, kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, Mdau alitoa hoja hiyo na kueleza kuwa Mkandarasi raia wa Kichina hajatimiza majukumu hayo tangu Septemba 2025, akidai wapo Wafanyakazi wa Soko la Kirumba walioachishwa kazi wameondoka bila stahiki zao hizo, hivyo ana hofu itawakuta na wao pia. Zaidi jamii.app/SokoLaKirumba #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
2
1
10
1,614
Mdau anauliza, je, Wasanii wengine wanatumia ipasavyo majukwaa na ushawishi wao kupaza sauti na kudai uwajibikaji katika jamii kama alivyofanya Davido? Mjadala huu unaendelea jamii.app/DavishoMajinaWalio… #JamiiForums #JFEntertainment
1
2
19
2,650
Umeshawahi kujikuta kwenye hali kama hii? Unamshauri nini Mdau? Shiriki mjadala huu jamii.app/UkimyaMahusiano #JamiiForums #JFMaisha #JFChitChat
5
995
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa mamlaka husika kufuatilia suala hilo ili wapate stahiki zao. Je, umewahi kukutana na changamoto hii mahali unapofanyia kazi Mdau? Fuatilia zaidi jamii.app/SokoKirumbaNSSF #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
4
17
2,586
Mdau ni kitu gani uliagiza mtandaoni kikakupa kilio cha kimya kimya? 🤣🏃‍♀️💨 Unaweza kutuma picha ya ulichoagiza na ulicholetewa kwa kubofya jamii.app/KuagizoVituMtandao… #JamiiForums #Sitapeliki #OnlineScamEnds
2
12
2,015
JF KUMBUKIZI: Mdau picha hii imekukumbusha tukio gani? Mijadala mingine ya historia bofya jamii.app/PichaTANU #JamiiForums #JFKumbukizi #JFChitChats
4
12
1,294
Kupitia Jukwaa la Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, Mdau ameandika, “Kama hatua hazitachukuliwa haraka, Kiwanja chetu Namba 42 kitabebwa kwa msaada wa Watumishi wachache wasio waaminifu wa Idara ya Ardhi ya Jiji la Dodoma.” Ameongeza, “Ujumbe huu uwafikie viongozi wa juu Serikalini, tumeshindwa kuweka Wakili sababu wanatutajia kiasi tusichoweza kuwalipa, pia tunaoshindana nao wameshika mpini, sisi tumeshika makali.” Fuatilia zaidi jamii.app/MalalamikoArdhiKik… #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #UtawalaBora
3
10
2,111
Mdau, uliwahi kukutana na kero gani jijini Dar es Salaam mpaka ukatamani uende kuishi mkoani? Zaidi jamii.app/MaishaDar #JamiiForums #Maisha
10
1,342
Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (#TEMESA) imebainisha kuwa mwongozo wao haujaelekeza kiwango na malipo ya mazingira hatarishi (risk allowance) kwa Watumishi wao kwenye Vivuko, bali hulipwa kupitia Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (Workers Compensation Fund) endapo ajali itatokea kazini.   Fuatilia zaidi jamii.app/TEMESAJuni2026   #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia FuchuaUovu ndani ya JamiiForums.com📌
1
14
1,483
Je, hii itaongeza wepesi kwa wafanyabiashara kutoa risiti za EFD wanapouza bidhaa? Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar amesema hayo wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, Juni 11, 2026. Fuatilia zaidi jamii.app/AppTRA #JamiiForums #BajetiKuu2026 #Governance
1
2
12
1,413