Minister for Lands & Housing MP for Ukonga | mPAP | BSC in Electronics Science & Communication UDSM | MBA MSM-Esami | LL.B-OUT | PGD LP-LST |

Joined August 2011
235 Photos and videos
Wababa tunajukumu kubwa la kutengeneza nguvu kazi ya kizazi kijacho kupitia watoto wetu tutimize wajibu wetu happy fathers day to all fathers
24
3
26
8,621
Kazi kazii Barabara ya banana -kitunda - Kivule - Msongola
32
4
33
9,680
8
3
22
8,473
Tukitafakari mateso ya Yesu Kristo, Nawatakia ljumaa Kuu njema.#GoodFriday #sikuyaijumaakuu
11
3
21
4,552
13
1
21
3,704
Jerry Silaa retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya 29 Februari 2024.
58
155
910
45,535
6
7
34
3,849
A legend has rested. A principled, straight forward, no nonsense and decisive leader. Life well lived, million lessons for young leaders. Pole nyingi kwa mama na familia, wanaCCM na watanzania wote. Our thoughts and prayers are with you at this sad moment. RIP EL JS
4
2
23
2,551
Jerry Silaa retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 2 Februari, 2024 .
33
55
458
28,153
Jerry Silaa retweeted
2
2
8
1,332
Jerry Silaa retweeted
2
1
2
1,300
Jerry Silaa retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kibao cha Uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama - Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
3
33
141
10,822
Jerry Silaa retweeted
Lugha adhimu ya Kiswahili. Waathirika na Wahanga.
26
80
402
61,329
Jerry Silaa retweeted
"Ardhi sio maji wala chakula utanunua kila wakati ni rasilimali, kwa hiyo tusichukulie mchakato wa kumiliki ardhi ghafla. Yoyote anayetaka kumiliki ardhi atumie muda wa kutosha kijiridhisha na sehemu pekee ya kufanya hivyo ni kwenye Ofisi za Ardhi "@JerrySilaa leo Jijini Tanga.
5
2
20
1,999
Jerry Silaa retweeted
28 Nov 2023
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa @JerrySilaa amemuagiza Katibu Mkuu Wizara yake Eng. Anthony Sanga kuwasimamisha kazi Wapima Ardhi Enock Katete na Cleoface Ngoye kwa tuhuma za kuidhinisha na kubadilisha ramani ya eneo linalomilikiwa na Kanisa la Morovian kiwanja namba 1,2 na 3 Block T Mtaa wa Itega Jijini Dodoma. Waziri Silaa amechukua hatua hiyo baada ya kufika eneo la tukio na kujionea hali halisi ya eneo hilo ambalo tayari baadhi ya sehemu zake tayari zimeendelezwa na kuwa na majengo ya kisasa na hivyo kumuagiza Kamishna wa Ardhi wa jiji la Dodoma Bw. Jabiri Singano kuwapa notisi ya kuhama eneo hilo wale wote waliomilikishwa eneo hilo kimakosa. Waziri Silaa amesema baadhi ya Watendaji wa Sekta ya Ardhi wasiokuwa wema wamekuwa wakiwahonga baadhi ya Viongozi kwa kuwapa viwanja kama kinga yao mara wanapokutwa na makosa ili hali Viongozi hao wanakuwa hawana taarifa kama Watendaji hao wana nia ovu. Waziri Silaa amesema aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru anahusika kwa kiasi kikubwa na dhuluma za viwanja Jijini Dodoma makosa aliyoyatenda kwa kutumia cheo chake kama Mkurugenzi wa Jijiji au yeye binafsi kama Mafuru kudhulumu haki za wengine. ‘’Kuna wakati Wakurugenzi wa Mamlaka za upangaji na Watendaji Wizarani ambao wamekuwa wakipima viwanja kwa Watu wenye nguvu na kuacha kumpimia ardhi ambaye hana nguvu, katika uongozi wangu kama Waziri mwenye dhamana nitaweka mstari uliyonyooka na sitoshiriki katika dhambi kama hii” #MillardAyoUPDATES
32
25
853
62,448
7
1
12
2,517
Kazi inaendelea Muonekano wa barabara ya kivule - mwembeni
7
4
15
2,056