Joined June 2020
15 Photos and videos
💰 $500 in #Crypto awaits for 10 lucky winners! 💰 🔹Claim Free 500$ bufdem.com/?promo=Casino500 🔹Retweet 🔹Tag 3 #Crypto friends 🔹Comment #GiveawayAlert 🏆10 Winners (100$ each) ⌛️Oct 25 @ 9PM EST #Giveaway #Casino #Reward #token #jackpot #Token #Poker #bet
13
As we are approaching the second year anniversary, we would like to thank our guardian, Hon @JMakamba - Minister of energy, for his continuous support, guidance, and commitment to raising @Jerusalem_Org children. Thank you for always being there for us, we feel safe and proud.
1
2
Happy mother's day wamama wote Happy mother's day wamama wote wanaojitolea kutunza watoto wa Jerusalem Mungu baba akumbuke sadaka zenu. MUNGU AWABARIKI SANA instagram.com/p/CdSX7GFtk21/…
Habari za jioni friends of Jerusalem tunashukuru Mungu kupokea wageni familia ya Lupembe wamekuja kutusalimia na kutuletea zawadi kwa ajili ya watoto. Mungu awabariki pamoja na familia instagram.com/p/CcvYdPQtl72/…
Asante sana Jumuiya ya Bethelehemu kutoka kanisani Kkkt kibada kuja kutusalimu na kusali nasi siku ya jumamosi. MUNGU AWABARIKI SANA kwa upendo na sadaka ya vitu mlivyotuletea Jerusalem. instagram.com/p/CcvWMdhtKMn/…
Asante sana marafiki wa Jerusalem kwa kujitoa kwenu na zawadi kwa ajili ya watoto wetu kusherehekea sikukuu ya Easter, Mungu awabariki sana #NewlifeNewbegining #Letlovelead instagram.com/p/CcUdFsvtMvt/…
Greetings friends of Jerusalem, May God bless you to continue love and support the needs one Mungu atubariki tuendelee kuwapenda na kuwajali wahitaji instagram.com/p/CcFbte1g09x/…
Asanteni sana kwa kuja kututembelea kwenye kituo chetu, Asanteni sana kwa maombi mliotuombea Mungu awabariki sana Tulifurahi sana kuwa pamoja nanyi #NewlifeNewbegining #Letlovelead instagram.com/p/CbywbXejEHn/…