Lawyer & Liberal, Personal & Private Banking, Universal Banker #ArsenalFan

Joined September 2015
252 Photos and videos
Mimi ni CCM imani.
“usitafute mchawi,” mzee joseph warioba ananiambia. namjibu, “sawa.” 🎥: @adaboe_12
22
E.N.I.G.M.A retweeted
Hello @CRDBBankPlc kuna mfanyakazi wenu tawi la lumumba kariakoo anaitwa Miriam anakaa table 15 I think she's the best ever ana huduma nzuri sana please mpeni hata tuzo ya mfanyakazi bora wa mwezi she's the best
76
53
937
64,821
E.N.I.G.M.A retweeted
May 21
Welcome back, Mikel ❤️
1,257
11,003
119,643
1,672,575
E.N.I.G.M.A retweeted
We are the champions.
84
288
1,829
20,626
E.N.I.G.M.A retweeted
Shout out Arsenal fans… Years of mockery… nearly men! Tonight, sealed it. @Evra where’s your apology 😂😂😂
2,634
13,040
105,365
2,735,862
I am a Proud Fan. Thank you.

E.N.I.G.M.A retweeted
The wait is over. @Arsenal are Premier League champions.
1,584
34,553
102,976
1,638,868
E.N.I.G.M.A retweeted
You deserve more Arsenal fans 💔
11,910
70,122
267,502
E.N.I.G.M.A retweeted
May 19
The Arsenal. Your Premier League champions.
28,074
199,933
584,302
36,194,196
E.N.I.G.M.A retweeted
🚨 Pep Guardiola to leave position as Manchester City manager at end of this season. 55yo Spaniard departing after trophy-laden decade & set to be replaced by Enzo Maresca. No official confirmation yet from #MCFC. W/ @SamLee @TheAthleticFC after @MailSport nytimes.com/athletic/6269334…
3,525
15,699
97,014
13,359,260
E.N.I.G.M.A retweeted
History made! 🇺🇬✨ This victory belongs to every young person who believed, every leader who sacrificed, & every voice that refused to be silenced. And in a special way, my beloved, National Youth leaders @NYCofUganda We are just getting started. The future of Uganda’s youth is bright, and I am fully committed to making sure every young person’s potential is explored. Tuko Pamoja! Let’s build this together 💪 Hon. Mercy Kanyesigye (MK) National Female Youth Member of Parliament 2026/31 #TUKOPAMOJA // #SwearingIn #UgandaParliament // #YouthLeadership #NRM // #5thIndustrialRevolution #UgandaRising //
22
33
194
3,865
E.N.I.G.M.A retweeted
To my lovely people of vurra.
60
64
694
14,895
I waited for Zimbabwe …. and just like i expected 🤣🤣
CURRENCIES IN DIFFERENT COUNTRIES 😂😂😂😂😂😂
18
E.N.I.G.M.A retweeted
Kuna Jamaa out of love and Support kanitengenezea hii kitu bwana humu, handle nimesahau, Thank you 🙏🏼
32
263
704
41,793
Pressure….!!!! Uwiiii
May 10
ANOTHER BIG STEP.
3
Nchi yetu si republic of kukorogana.
Kwa Upole Nielezeeni Drogba amekuja kufanya nini kwenye Bunge la Budget?
1
2
163
Hatuna Principle tu, tunapaswa kuwa nazo kujitofautisha.
I have been in this platform long enough, lesson kubwa humu ni kwamba wote humu ni wanafiki, yes mimi na wewe wote wanafiki 😃
1
22
🤣🤣

3
Martin? Tiwauwe wote?
Jana niliandika ujumbe nikikosoa kitendo cha Mzee MBOWE kumuombea msamaha SABAYA. Nimepata maoni mengi; wengine wakisema sikuwa sawa. Ipo hivi. Kuna mambo katika siasa hayawezi kufutwa na maneno laini na mepesi ya “msamaha,” hususani msamaha usiotoka kwa mtenda dhambi mwenyewe. Utawala wa SABAYA katika wilaya ya Hai haukuwa wa kisiasa tu; ulikuwa ni utawala wa chuma na ukatili uliopitiliza. Hata Mzee MBOWE anafahamu hilo. Makosa ya uhujumu uchumi na unyang’anyi wa kutumia silaha (armed robbery) yaliyomfunga gerezani wakati ule, ni tone dogo sana katika bahari ya unyama wake. Wapo watu walitekwa, kuteswa, na kuachwa na vilema vya kudumu. Kusema mtu huyu anastahili msamaha bila toba ya dhati kwa wahanga, si tu ni kosa, ni dhihaka. Miongoni mwa wahanga wa genge la SABAYA ni ndugu yetu Simon MNYAMPANDA, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Hai. Ndugu yetu aliteswa. Simon Mnyampanda aliteswa kwa umeme. Ameeleza wazi kwamba, alihojiwa kuhusu mahusiano yake na Mzee MBOWE. Mwisho, alipigwa misumari ya miguu. Huyu ni mtu aliyepata mateso hayo akimlinda Mzee MBOWE na CHADEMA. Leo Mzee MBOWE anajigeuza kadinali na kumuombea msamaha mtesaji SABAYA? Genge hilo halikuishia hapo. Genge hilo lilikuwa kama MAHARAMIA. Walivamia nyumbani kwa mgombea udiwani wa kata ya Narumu katika jimbo la Hai. Baada ya kumkosa, walitoa adhabu ya kinyama kwa watu waliokuwepo nyumbami kwa kuwakata masikio na sehemu nyingine. Nyumba nzima ilitapakaa damu. Hawa ni binadamu, si takwimu za kisiasa. Hawa watu waliotendewa mambo hayo wapo. Baadhi ya ushahidi wa masuala hayo nimeambatanisha katika makala hii. Inasikitisha kuona Mzee Mbowe anatumia mateso ya wafuasi wake kama mtaji wa kisiasa (political capital). Binafsi nimejiuliza maswali mengi tangu hiyo jana. Je, wahanga wameombwa msamaha na kufidiwa? Je, mateso yao yamekuwa ngazi ya makubaliano ya kisiasa? Hii si dharau kwa wale walioteswa wakikupigania? Sabaya anapaswa kuomba msamaha kwa waathirika, si kuombewa. Vinginevyo, hii ni michezo ya kumtengenezea mazingira ya kupata uteuzi katika Serikali ya CCM. Watu wa Hai hawajasahau. Damu na machozi ya wahanga bado vinadai haki. Msamaha bila toba ni baraka kwa ukatili mwingine ujao. Haki kwanza, msamaha baadaye. Binafsi, nilimheshimu Mzee Mbowe kiasi cha kumpa mwanangu wa tatu jina la “Freeman”. Leo hii, nahisi usaliti mkubwa moyoni mwangu kwa mambo hayo. Kunyamaza mbele ya usaliti huu si busara, bali ni upumbavu ambao kesho utatunyong’onyesha. Nimeandika ili kulinda hadhi ya jina la mwanangu. Siku mtoto wangu akiniuliza, nitamjibu kwa utimamu kabisa. “Nilitetea maana halisi ya ‘Freeman’ wakati jina hilo lilipotaka kuchafuliwa na siasa za kimaslahi.”
49
Swali zuri Khalifa ila hujalitendea haki, ulikua na mtu sahihi sana ulipaswa umuandalie swali baada ya kufanya tafiti. Naomba tulipike hili swali tena kisha tuliulize tena Kaka
kitila mkumbo anasema serikali anayoiwakilisha ni halali kwani “imepatikana kwa mujibu wa sheria.” baruani mshale, kutoka twaweza, anahoji endapo kama sheria hizo zinaweza kuwa vigezo wakati zenyewe zimekosolewa kwa kukiuka katiba, sheria mama ya nchi: 🎥: @kiratyofficial
25