A servant of Jesus/Preacher/A student of Bible/A mass communicator

Joined August 2019
188 Photos and videos
Pinned Tweet
19 Nov 2024
2 Timotheo 4:2 [2]lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho. LIVING GOSPEL: Mission and belief
3
23
1,057
Lipa gharama kwa sababu mambo mazuri hayaji bila gharama. Kubali kulipa gharama. Gharama ndiyo huamua umbali wa safari yako.
1
7
180
Si kila wakati unapopita katika tabu ni kwamba Mungu amekuacha. Kuna wakati hiyo ndiyo njia ya Mungu kukutengeneza, kujitukuza na kukuleta kwake. Kuna watu hawakuwahi kuelewa wala kujua ni kusudi gani Mungu amewapa kufanya dunia. Hadi walipoonja hicho kikombe. Wenye wito wanajua.
1
2
35
Shauku ya mtu katika mambo ya kiroho ndiyo huwa inaamua ukuaji wake na viwango vikubwa vya kiroho. Hudhuria semina za watumishi wenye maarifa makubwa ya kiroho, sikiliza wahubiri wa ndani na nje kwa bidii, soma neno, takafari, omba kwa bidii. Hataubaki kama ulivyo. Umebarikiwa
1
4
19
433
Ukianza kuandaa somo lako wala usiwe na haraka hata kama ni series ya mwaka mzima. Kaa sana katika maombi utashangaa Roho Mtakatifu anakwambia wapi uanzie na wapi uishie, kila mzizi wa andiko unaohusiana na somo lako atakupa. Dumu katika maombi, maombi ni majibu ya maswalo yote.
4
20
219
Zaburi 53:2 [2]Toka mbinguni MUNGU aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu. Mungu hatafuti watu anatafuta mtu, ambaye ni wewe, ili kutiisha eneo la mahali kuleta matokeo. Mungu anakusubiri wewe uamke na Tanzania ijue utukufu wake. Amka.
5
18
223
Nebukadreza alipotaka kuua wenye hekima kwa sababu ya kukosa majibu ya ndoto yake, Daniel aliingilia kati na kumwambia ampe muda kuoa roho za wengine. Nini alifanya? Kuomba...katika maombi kuna majibu ya maswali, hata kama huoni matokeo endelea, Mungu atakujibu. Uwe mvumilivu.
1
15
262
Mungu huanza kuwapima watu kwa mambo madogo sana kabla hajakupa vikubwa. Ukiomba milion 10 ataanza kukupa lakini 100,000 akupime. Kama ilivyo kanuni yake Luka 16:10 [10]"Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia..."
1
5
51
1,016
Nafikiri mwanaume huwa anaoa akili na commitment, akiona hata ishara ya ubinafsi imekula kwa mwanamke. Wote tunafanya makosa lakini akili na kujitoa huyaweka maisha sawa sawa hasa ujenzi wa familia. Issue si kuwa na usichana au kutokuwa nao au kuzalishwa. Issue ni brain. Akili.
1
25
Una tabia sugu ambazo ni ngumu kuziacha. Mpe Roho Mtakatifu nafasi, kaa katika maombi mara nyingi, kaa muda mrefu katika kuomba. Kuna siku utashangaa hazipo, hata kwa kulazimisha huzipati.
2
12
61
935
We are free. Maana majira ya mkono wa BWANA yamefika
1
1
3
41
Kuna wakati uliambiwa utakuwa mtu mzima na sasa umekuwa. Ni vema ujue na kuelewa kwamba kuna ujio wa Yesu kuchukua kanisa lake. Hakika Yesu yu karibu sana kurudi, jiandae, mkimbilie Yesu, jisalimishe kwake. Umebarikiwa sana.
1
2
15
328
Waebrania 11:39-40 [39]Na watu hao wote wakiisha kushuhudiwa kwa sababu ya imani yao, hawakuipokea ahadi; [40]kwa kuwa Mungu alikuwa ametangulia kutuwekea sisi kitu kilicho bora, ili wao wasikamilishwe pasipo sisi.
1
2
39
Majira ya BWANA yamefika. Mapigo 10 yameanza
1
25
Majira ya BWANA yamefika. Jicho la Mungu limeshuka kuitazama nchi. Mapigo 10 ya Mungu yameanza rasmi Ni majira kushuhudia na nakuona.
1
44
#TOba Mathayo 3:8 Basi zaeni matunda yapasayo toba;
1
4
13
86
Mungu hafanyi Agano na kila mtu bali watu wake Zaburi 89:3 [3]Nimefanya agano na mteule wangu, Nimemuapia Daudi, mtumishi wangu. Hakuna mtu anaweza kufanya Agano na Mungu ila Mungu hufanya na watu wake
1
41
Nimeona bhana wamepeleka hadi ugali kwa wapogoro huko Malinyi
Mkikaa vibaya wasukuma wanaenda Ku dominate mkua wa Sita 😆
1
1
531
WOMEN: wanaume wanapenda sana kusapotiwa na wenzi wao japo mara chache hata kwa kudunduliza ndani ya mwaka. Hata kama yupo kimya jua kuna mahali atasema. Chako kikiwa chako sana kwa sababu majukumu yote ni yake inamuumiza. Mpe hata 10,000 kwenye 100,000 ya ada za watoto.
1
9
181
Wachungaji wa kweli na wenye kujua siri za ufalme wa Mungu ndiyo tatizo kubwa kwenye kanisa la sasa. Kuna watu wanafundisha mambo ambayo katiba yetu (Biblia) haisemi. Na wengine akijua andiko na yeye ni mwalimu. Paulo anasema andiko huua, lakini Roho huuisha.
3
3
8
119
Nuru ya Kristo (neno) isipoingia na kuangaza katika mioyo ya watu ujue washapotea
19
Mr Stan retweeted
Replying to @KapsJr
Tuwe makini sana, haya hatuwezi kuyaepuka katika ulimwengu huu
1
1
1
25