Media personality | Entrepreneur | Kinara🇹🇿

Joined August 2012
264 Photos and videos
Mida ya kuzungumza na Majirani 🎙️ Tuko live kupitia YouTube pale @CrownMediaTZ kuanzia saa sita mpaka nane mchana kupitia 92.1 Crown. Tusikilize online kupitia radio box/ garden au crownmedia.co.tz na kwenye kisimbuzi cha Azam channel no: 67 📡 #SemaNaKinara
2
247
Imekuwa muda mrefu, hamjambo? #SemaNaKinara
9
3
88
3,084
Maryam Kitosi retweeted
Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions. Like few other leaders anywhere, he was willing to choose the path of peaceful reconciliation without compromising his core values. Through his life, Raila Odinga set an example not just for Kenyans, but across Africa and around the world. I know he will be missed. Michelle and I send our deepest condolences to his family and to the people of Kenya.
8,460
21,266
150,318
13,641,024
Maryam Kitosi retweeted
Allahummaghfir li, warhamni, wa ‘afini, wahdini, warzuqni
3
14
504
Hedhi ni afya na utimilifu kwa Mwanamke. Upatikanaji rahisi wa vifaa vya kujihifadhi kwenye siku zetu na mazingira wezeshi yanaleta furaha/ unafuu ndio maana tunasema “Wezesha Mazingira ya Hedhi Salama yenye Utu kwa Wasichana na Wanawake Wote”♀️ #InternationalMenstrualHygieneDay
1
8
149
Maryam Kitosi retweeted
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa — Simba Sports Club. Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na awape uwezo wa kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi ili waweze kucheza kwa nidhamu, uhodari, na ushindi. Tumefanya maandalizi yote kwa kiwango cha juu kadri tulivyoweza, tumefanya kazi kwa bidii, lakini sasa tunamtegemea Allah peke yake. Ewe Mola wetu, ni Wewe tu tunayekuabudu, na ni Kwako tu tunakuomba msaada. Hatuna wa kumkimbilia ila Wewe. Tunakuomba utusaidie tupate ushindi katika fainali hii, utukirimu kwa kheri, na utujaalie furaha hii ambayo mioyo yetu inaitamani. Na tunakubali, Mola wetu, kuwa Wewe ndiye mbora wa waandishi wa mipango, na hakika mipango Yako ni bora kuliko yetu. Tunakuomba utupe lililo bora kwa sisi – khair – na tukubali kwa moyo mmoja yale utakayotuandikia, kwa sababu imani yetu iko Kwako tu, ee Mwenyezi Mungu. #NguvuMoja #SimbaSC
128
161
1,244
58,480
Segito🔥
Happy Sunday 💚
1
1
3
165
Maryam Kitosi retweeted
Replying to @Kinara____
Uwe na usiku mwema... Le madame Kinara 🤝🏽
1
3
73
Maryam Kitosi retweeted
Replying to @Kinara____
Walai nimeipenda hii nguo color yake ni nzur imekutoa🙌
1
1
2
74
Maryam Kitosi retweeted
Replying to @Kinara____
Umependeza😍 samahani hii nguo umenunua wapi??
1
1
2
181
Happy Sunday 💚
13
9
232
12,038
Mungu huwa anafunga milango ambayo mwanadamu hawezi kufungua na Mungu pia ndiye anafungua milango ambayo mwanadamu hawezi kufungua.. kikubwa subra. Jummah mubaraq ❣️
8
204
Maryam Kitosi retweeted
Ibraah anasema mama yake aliumwa akamfuata Konde kumuomba hela ya matibabu Konde akamjibu usingekuwa msanii ungemtegemea nani Source JIRANI, CROWN MEDIA.
19
30
737
41,091
Maryam Kitosi retweeted
3 May 2025
May your parents witness your success.
101
195
1,322
31,645
Maryam Kitosi retweeted
Huzuni haidumu milele, sawa na furaha. Usitegemee kuwa na furaha kila wakati. Inapaswa kusawazisha. Hiyo ni sheria za asili.
4
10
294
Maryam Kitosi retweeted
“Jina Kiba lilitolewa na Jirani yangu nikiwa na Ujauzito wa Ally, alikuwa akiniita Mama Kibanio baada ya kukua na kuingia kwenye Muziki mwenyewe akaweka swaga zake ikabaki KIBA”, Mama Kiba akiwa kwenye #JIRANI @Kinara____ @RiyamaAlly Producer: @ummylicious
2
9
229
16,909
Tutazame live pia kupitia YouTube channel yetu Crown media. Hapa ni nyumbani 📻
Kwenye #JAMVI leo #MAJIRANI watakuwa na Mama Mzazi wa #MFALME @OfficialAliKiba ni kuelekea siku ya tarehe 19 Aprili @kendwarocksznz katika kilele cha Burudani ya Miaka 20 ya MFALME wa STAGE 👑🙌 #JIRANI Ni Kuanzia Saa 6:00-8:00 Mchana kupitia Crown FM lakini pia Tutakuwa Live #YOUTUBE ya CROWNMEDIA Ungana na @Kinara____ @MwijakuBurton @RiyamaAlly Producer: @ummylicious
3
126
Maryam Kitosi retweeted
Kwenye #JAMVI leo #MAJIRANI watakuwa na Mama Mzazi wa #MFALME @OfficialAliKiba ni kuelekea siku ya tarehe 19 Aprili @kendwarocksznz katika kilele cha Burudani ya Miaka 20 ya MFALME wa STAGE 👑🙌 #JIRANI Ni Kuanzia Saa 6:00-8:00 Mchana kupitia Crown FM lakini pia Tutakuwa Live #YOUTUBE ya CROWNMEDIA Ungana na @Kinara____ @MwijakuBurton @RiyamaAlly Producer: @ummylicious
4
85
1,503
Maryam Kitosi retweeted
10 Apr 2025
Ramadan will happen twice in 2030— the first one in January and again in December. May Allah spare our lives in good health and happiness to witness this 🤲🏻
198
1,209
6,888
157,336
Maryam Kitosi retweeted
Ukiwa hodari wa kushangilia changamoto za watu wengine ujue anguko lako liko jirani sana
4
8
331