Hizi mada za ndoa mngeachana nazo, kila mtu atafute kijana au binti mmoja mpendane, Mungu akiwajalia ndoa kheri, asipojalia basi utapata mwingine maana mtakuwa mnapigana tu humu kila siku😂
Anyways tuendelee nazo maana zinasogeza siku, karibuni vitumbua 36 na maji baridi🌚