This meansβ¦..wameua mpaka wapiga kura wao?? Wanachama wao!!
Inaumiza sana!!
Maana kama walikuwa wanafanya
RANDOM KILLING wanaingia mitaani wanaua, wanaua watu vibarazaniβ¦..
wanaua watu nje ya nyumba zao!!
Wapo waliopiga kura asubuhiβ¦.then jioni wakauliwa!!
(SADπ)
Unampigia kura asubuhi β¦.baadae anatuma watu wanakuua!! (Kazi & Utu)
Kama hii ndiyo shukrani anayopewa aliyewapigia kura!!
Vipi kwa anayewakosoa?
Then who is safe!!????
MOYO WANGU UNA MAUMIVU MAKALI SANA!! π
Rest in peace our loved ones π¦
Tutawakumbuka na kuwaenzi milele
Na kuendelea kupigania mlichokipambania!!
Sote njia yetu ni moja!!
Mmetuachia deni tuliobaki!!(Mnatudai)
Tutaendelea mpaka siku tushinde!!
Naamini mtafurahia ushindi huo!!
Kisha siku moja tutaungana nanyi na kuwaacha
Watoto & wajukuu zetu wakifurahia ushindi na utajiri wa Tanzania πΉπΏ
My condolences to all the families!!π€²
Nawaombea majeruhi Quick recoveryπ