Nasogea pembeni niweze kuipokea kimya kimya,
Kumbe Ngwair, yes, eeh bwana inakuwaje mtu mzima,
Sshh, kimya kimya njoo Mbezi kwa kina Mima,
Kuna bonge la party mazee la kimya kimya,
Mashawrie wamedondoka toka State, kimya kimya
Ka vipi usiage mtu we chomoka kimya kimya
Ring ring napiwa simu, tone - kimya kimya