Tanzania=⚠️

Joined February 2023
3 Photos and videos
Pinned Tweet
R.I.P bro..
1
125
mkongo. ⚠️ retweeted
CHADEMA iko ktk mioyo ya watu. Trust me , wewe Chaliii , ipo siku unaweza kuja kushtuka… hata wife wako anachangia TONE TONE. Mwambie asikae nje ya game. Mpe namba hii shemeji 👇MPESA: CHADEMA HQ 0744446969 Mwambie pia kila tone lina maana.
58
131
762
36,318
mkongo. ⚠️ retweeted
Sijawahi kufanya video kwa ajili ya Chadema hii ndio ya kwanza. Chadema tunaomba msituangushe kwenye hili. Watanzania tumezika watu kwa ajili ya haki sio kwa ajili ya Lissu kutoka ndani au kwa ajili ya Chadema kufanya siasi.
152
453
2,165
73,195
mkongo. ⚠️ retweeted
Happy birthday Jenerali Ulimwengu @raiyajenerali 🎉 Mwenyezi Mungu akuongezee miaka mingine mingi akujalie afya njema, furaha na mafanikio 🙏🏽
22
164
1,101
9,974
mkongo. ⚠️ retweeted
Benin washamaliza kazi huko ! Eniwei sisi Mungu katupangia tumalize wananchi maana #WenyeNchiWananchi Mkono wa Mungu uko juu ya Tanzania 🇹🇿🙏🏽 #D9Tunatoka
54
343
2,348
54,432
mkongo. ⚠️ retweeted
Financial literacy ni muhimu sana kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi. Just imagine kijana ana make deal anapata 1 Billion Tsh , ananunua G Wagon 700M na so other liabilities. Mwingine , the same amount of money ananua hisa/bond , let’s say appreciation yake ni 12% kwa mwaka compounding interest. Baada ya Miaka 5 , G Wagon itakuwa imeshuka value kwa asilimia 60% up to 70 % wakati huo aliyefanya investment itakuwa na ongezeko la the same 60 /70 % or more , mmoja pesa yake ilikuwa inaongezeka na mwingine alikuwa anazunguka na gari kuishusha thamani maeneo ya Masaki na Mlimani City. Haya mawazo yamekuwa serious this morning , kwani kuna siku nilinunua kuku nimchinje , mambo yakawa mengi nikasema nitamchinja siku moja, nikamuacha , sasa akataga, akatotoa na vifaranga , sasa sio kuku mmoja tena , wkt natafakari nikaona chupa ya perfume kwenye dustbin , nikasema unajua hii perfume thamani yake that day ningenunua kuku 33. Anyway naaminI ktk maisha bora na mazuri , lakini our obstacles sometimes ni ktk FINANCIAL LITERACY. Tufikirie Pamoja. Nafikiri Reforms Zinahitajika pia zaidi ktk mindset zetu.
147
439
2,632
156,385
mkongo. ⚠️ retweeted
27 May 2025
Hii picha ukiiona kwa TL Yako naomba RETWEET, tufikishe ujumbe kwa askofu kuwa Tanzania ipo nyuma yake .
9
712
2,036
50,735
mkongo. ⚠️ retweeted
Leading Kenyan lawyer and the country's former Justice Minister Martha Karua says she has been deported from Tanzania to prevent her from attending the court case of opposition leader Tundu Lissu. bbc.in/3GYZFvC
130
652
3,060
298,256
mkongo. ⚠️ retweeted
19 May 2025
Iconic picture.
152
1,251
7,616
204,665
mkongo. ⚠️ retweeted
19 May 2025
This picture deserves to be reposted a thousand times. 1K Repost. #FreeTunduLissu
59
5,663
13,529
198,769
mkongo. ⚠️ retweeted
19 May 2025
Popote ulipo kama wewe ni mpenda haki onyesha ishara ya upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku like hapa.❤️✌️
195
994
5,808
100,836
mkongo. ⚠️ retweeted
President @SuluhuSamia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection. This is the kind of insecurity, desperation and stupidity which African tyrants excel in. Civil disobedience is a constitutional right of all human beings faced by injustice. To @SuluhuSamia: #FreeTunduLissu now! You can’t stop Tanzanians from making their country’s governance more democratic, transparent and accountable. African Freedom Fighters condemn your repressive measures against @TunduALissu and his CHADEMA comrades. We stand in solidarity with Lissu and his detained comrades.
120
1,186
3,217
109,461
mkongo. ⚠️ retweeted
10 Apr 2025
Repost bila sababu.💔✌🏾
8
835
1,909
37,660
mkongo. ⚠️ retweeted
Kuelekea week end, Mwalimu wa Hesabu nipo 📚✏️. Hapa tunakata pindi la Probability. Karibu, lakini umechelewa kidogo—tumeshamaliza Algebra, Logarithm, Functions, Sequence & Series 🤗🤗📖.
549
194
3,321
211,877
mkongo. ⚠️ retweeted
Siku PUMZI yako inakata kama aviator🦌hakikisha huna dhambii🎤🔖
3
3
5
470
mkongo. ⚠️ retweeted
5 Mar 2025
Kuna story Zinahuzunisha sana Dah 😔😭
166
123
1,571
91,635
#MATUKIO yaliyotokea mwaka uliozaliwa yana uhusiano mkubwa sana na tabia yako.✍" Quotes". Kuna mtu ataulizaa iyo ndege inauhusiano gani na tabia yake😅
1
7
631
mkongo. ⚠️ retweeted
8 Feb 2025
Umekalia kimya kutekwa na kuuwawa kwa MZEE ALI KIBAO. Umekalia kimya kutekwa kwa SOKA na wenzake. Leo unataka kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu wa CONGO. Huyu mamaenu vipi?
112
107
918
43,161
Laiti👃✍ tungeelewa juhudi na kujitolea kwa waliopigania uhuru wetu, tungeenzi na kutunza makaburi yao kwa heshima kila siku.✍✍
1
6
381